feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Mafinga asiiache kabisa.Orodha hii bila Makambako ni batili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafinga asiiache kabisa.Orodha hii bila Makambako ni batili
Kibondo hiyohii wapi au ndio kasulu yenyewe
na hapo sio kiangazi?Kibondo hiyo
Lile la Congo je?Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Subutuuuu hiyo lami imejaa vumbi si mchezo ukiwa unatembea unatamani kufunga macho vumbi lake ni la mchangaNasikia Dodoma kila sehemu wametandaza lami kwa hio hakuna vumbi kabisa
Kwamba mto wa mbu hakuna vumbi? Labda ungesema sio jekundu. Hata huu uzi haujataja rangi ya vumbiMto wa mbu monduli umedanganya wasiopajua
Dar hakuna vumbi mkuu ukitembelea miji kama mbeya,makambako,mafinga,songea na mingine iliyotajwa utaelewa nini maana ya vumbi.Bila Dar kwenye hii orodha ni batili.
Wabongo hadi kwenye shida tunaoneana wivu..🤣🤣Orodha bila Mbinga kuna ubadhirifu
Kweli Mafinga nimeisahau kwa bahati mbayaMafinga asiiache kabisa.
Niliendaga Nyololo uaingia kushoto ukiwa unatoka Dar nikaenda kijiji kinaitwa Igohole ***** tumefika nguo zote vumbi mpaka nywele.Kweli Mafinga nimeisahau kwa bahati mbaya
DODOMA VUMBI SIO LA KICHAFUA NGUO NYEUPEHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
ivu huko kasulu wanaishi watu kwel?😂😂😂😂Kibondo na Kasulu, ukitembea sana unaanza kucheua vumbi.....
Hii orodha bila kutajaHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Kuna maeneo yana vumbi ila kwa kuwa ina miti mingi ya kukinga nimeona niiache. Kule Buhigwe kuna poda ya ukweli ila kwa kuwa kuna miti mingi huwa haitajwi sana. Kusingekuwa na mazingira kama yale basi ingekuwa balaa. Hata Moshi kuna udongo kama wa Karatu ila kutokana na uoto wa asili maeneo mengi yanaonekana hayana vumbi.Hii orodha bila kutaja
Makete, mbulu , geita , lushoto , moduli, bahi , ni ubatili
Tabora inaweza kua no mojaHiyo orodha ni batili kabisa kama mbeya haipo, nimekuwepo hapo siku tatu zilizopita vumbi na upepo uliopo sijaona