Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Bila Dar kwenye hii orodha ni batili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nn mkuuUnashangaza sana. Unaijua KIGOMA?
Morogoro napo linapiga eeh?ilibidi nicheke, kweki tembea uone mm kwa akili yangu nikawaza morogoro
Kichangalabda maeneno ya posta na sehemu za mijini, sehemu zingine ni kuna kivumbi cha kishkaji
Lakini niliona mtandaoni wanaweka lami. Hayo maeneo uliyotaja yana unafuu.. ukisema utoke nje tu ya hapo utajuta.Karatu msimu wa Mvua Kuna kuwa na tope la Hatari sana, Unashindwa kunyanyua mguu kutoka chini, Haswa hayo maeneo ya CCM , uwanja Mboe Hadi kupandisha Maeneo ya Jublate Mnyenye, NMB, Kwa Lekashu, Kadtuli Hadi Peter Ombay , Crater Rim, upande police na TRA shuka mitaa ya NBC kote ni tope ama Vumbi
hahahahah.. lakini inasemekana ile ardhi ndo ina rutuba zaidi kwa kilimo kwa sababu hata madawa hawatumii na wanavuna.Aloo sio mchezo karatu baba lao. Nilienda msibani kurudi wife anauliza kwani walikugeuza maksai nn maana nguo zinachafuka vumbi la maana. Lile vumbi la karatu unaweza ombea hata mkopo bank.
Ila dodoma nyie kuna upepo na baridi sijawahi ona. Bahati nzuri nilifikia area D sikuona hata vumbi sikupata bahati ya kutembea kwa miguu ila baridi na upepo watu wa dodoma mtakuwa mmepauka balaa.Dodoma yangu jmn mbn mashati meupe unavaa lkn kuna vumbi nadhan ndo mkoa wa kwanza yan
Ni kweli msimu wa kilimo kunakua kuzuri sana. Na ile ardhi lazima iwe na rutuba kutokana na jografia ya eneohahahahah.. lakini inasemekana ile ardhi ndo ina rutuba zaidi kwa kilimo kwa sababu hata madawa hawatumii na wanavuna.
Duuu!!!Kibondo na Kasulu, ukitembea sana unaanza kucheua vumbi.....
dar pasafi sana, unaoga hata usipojipaka mafuta hupaukiDsm huku kuna kichanga
Kigoma mjini hakuna vumbi. Ningeitaja Buhigwe ila kuna miti mingi kiasi kwamba vumbi halionekani vizuri.Unashangaza sana. Unaijua KIGOMA?
Tatizo la Dodoma vumbi na Upepo vinaendana. Aisee upo Dom ipi angalau tuonane tuchome kuku hapo Royal?Dodoma yangu jmn mbn mashati meupe unavaa lkn kuna vumbi nadhan ndo mkoa wa kwanza yan
Mto wa mbu hatuna vumbi baya aisee. Umetuonea sana. Vumbi letu linafanana na rangi ya silva. Sio jekundu aiseeHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Wewe hujatembea kabisa yaanKwa morombo, Moshono, Lengijave, Kisongo, Ngaramtoni na Chekereni. Hizo sehemu sio poa