Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

Mfano Njombe mji aisee stendi wameipeleka mbali kinoma lakin inaweza kuwa imesaidia kupanua mji maan njombe ilikuwa imejikusanya sana... Sehem zingne ni km Iringa
 
Bila kuisahau katoro-Geita! Alaf mleta uzi umesema kidatu/ruaha ipo kilosa lakini sio kweli hyo ipo wilay ya kilombero hat ukiangalia google map, alfu tunduma sio wilaya hyo ni wilaya ya Momba.
Ruaha/kidatu ikpo Kilosa.. mpakani ninule moto Ruaha, na ndio maana Jimbo lao la Uchaguzi ni Mikumi.
Tunduma ni kweli ipo Wilaya ya Momba but Halmashauri inajitegemea ni "TTC"
 
Yn unaitaja Isaka unaiacha Kagongwa mkuu mbona Kagongwa ndio inakua kulko Isaka
 
Kumbe kupo vizuri! Nimeona viwanja Maili Sita kupitia TAUSI vipi ni sehemu mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…