Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

Hiyo ndio kazi nzuri ya Samia Kila sekta.

Mwisho ukiacha Tunduru,Masasa sio Mji mdogo elewa mada.
 
Goziba
Bumbire
Kerebe
Katoro
Ikuza
Mazinga
Nyakanazi
Mtukula
Kibaigwa
Dumila
Kisesa
Tinde
 
Okay..ni hadhi gani kwa sasa?
Mji wowote ambao unatambulika na Serikali kama Halmashauri ya Mji haiwezi kuwa kwenye hilo kundi.

Imeshavuka huko,Ni kundi la Miji mikubwa ya kati ndio maana Ina Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Mji.

Miji inayozungumziwa hapa Haina hiyo Hadhi,inachipukia.
 
Asante sana mkuu kwa uelewesho
 
Goziba
Bumbire
Kerebe
Katoro
Ikuza
Mazinga
Nyakanazi
Mtukula
Kibaigwa
Dumila
Kisesa
Tinde
whats so special tinde kila mtu tinde..kuna pale didia ipo ndani kituo ni luhumbo shy vijijini usipime...kilimo na biashara vinakuja kwa kasi sana.. mlimba pia usipime pako kasi sana kilimo na biashara.... kwingine kagongwa biashara ya mchele... mtukula....muzani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…