ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hiyo ndio kazi nzuri ya Samia Kila sekta.Tunduru na Masasi ni Wilaya ambazo zinakaribiana japo ziko ndani ya Mikoa miwili tofauti ila Masasi inazidi kukua zaidi, Sasa hivi Masasi wanamiliki Council mbili ambazo ni Masasi District Council & Masasi Town Council.
Mara ya mwisho kupita Masasi ni May 2023.. Duuh Masasi ya sasa ina barabara za lami mitaani, Ile Hospital ya Wilaya Mkomaindo na vyuo ya Afya(Masasi- COTC) vyote vimeboreshwa. Pale sokoni Kaumu Maghorofa yanajengwa. Stand kuu inahamishwa ili kutanua Mji, stand ya kisasa itaanza kujengwa soon.
Mwisho ukiacha Tunduru,Masasa sio Mji mdogo elewa mada.