Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Hivi watu wa Dar ni akina nani
Chifu kibasila, jumbe tambaza, mshume kiyate, tewa said tewa, ramadhani minshehe wa mzuzuri, max mbwana, mshale kawambwa, said biboze (harambee), Sharif juned nk
 
moshi patamu sana yaaaan wewe achu tuuu duuuh lkn moshi hhahah patamu sana
Moshi mbona pa kizamani sana wala hapabadiliki miaka nenda rudi,nimewahi soma uko shule ya msingi mandela moshi mjini kwaiyo tusidanganyane apa
 
Na huu umeona umeleta bonge la uzi....lowasa hakukosea kusema Elimu Elimu Elimu
 
Chifu kibasila, jumbe tambaza, mshume kiyate, tewa said tewa, ramadhani minshehe wa mzuzuri, max mbwana, mshale kawambwa, said biboze (harambee), Sharif juned nk
Umewasahau wakina Mzee Shekilango, mzee Musahasan{Msasani} wakina Shabani Robert
 
sitaki kuweka picha ila mji mzuli ni pwani haswa ukianzia mkulanga bungu kibiti mpaka ikwiriri wenyewe tunaita ikwiza kalibun sana watanzania wenzangu
 
Kwa hiyo unajivunia Dar es salaam?
Hutaki kujivunia kwa wazazi wako!
Ndio nyinyi mkiulizwa mnasema kwetu Dar es salaam na mie mzaramo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…