Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Ila wagosi wamejaa mjini darisalama wanakaanga chipsi.. Tanga waja leo waondoka leo" means no 1 want to stay there
Uarabu wa kipwani umewadumaza. Lakini haliondoi ukweli kwamba huu Mkoa uko position bora kuliko yote Tz. Unajua kinachoendelea mikoa ya Arusha na Moshi ukiondoa utalii viko Mby, kuanzia elimu hadi maendeleo. Ila Tanga wana hivyo vyote na bado wana vya ziada.
 
Mi Niko arusha nimezaliwa hapa kati ya hizi miji moshi arusha. Lakini upande wangu mi ninabarikiwa napata raha zaidi nikiwa mwanza pale, hata sasa natamani kukaa pale fukwe za tilapia napamis sana. Mji mwingine naopenda ni mbeya na iringa
Free stress city kimaisha ni Green city, Mby. Sema lile jinamizi lililowakumba tu la kuchuna ngozi limeuharibia sana.
 
Kimaendeleo Arusha Moshi iko juu sana.. Kielimu ndio usiseme huwezi iweka Tanga hapo.
Tanga imebarikiwa kwa mvua nyingi ardhi pia nzuri kwa kilimo cha matunda na vitu vingi pia.
 
Nazungumzia
1. Mji wa Moshi.


2. Mji wa Arusha...


I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.

Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
Wakiweza kuilisha Tanzania wataka wamebarikiwa.
 
Very late now...
Hapana, wakiamka leo hata miaka mitano haitafika watapaa sana. Kwanza kwa sasa, Tanga, Mtwara na Kigoma ndo miji inayowavutia zaidi wageni wa ndani, fursa ziko njenje.
 
Mzee Nyerere alisaidia sana. Kama sio yeye, kuna makabila mengi yangefutika apa Tanzania
Yangebaki makabila kutoka mikoa hiii
1. Kagera
2. Kilimanjaro
3. Mbeya
4. Mara Musoma
5. Mwanza, shinyanga (sukuma land)
6. Iringa, njombe (wanyaru)
 
Ndugu zangu wazaramo akiamia mtu mwenye uwezo yeye, anauza anakimbia kijijini, sehemu ambayo atapata pori la kuwaweka unyago na jando kwa watoto wa kiume.
Dar es salaam Tanzania, wazaramo wote wamekimbilia mikoa ya Pwani, na sasa ivi watu wanawafata mikoa ya Pwani, sijui watakimbilia wapi tena
 
Kaskazini ni hawa hapa, wale kule, hawa huku yaani kila kona tunakimbiza.
Si kweli, kuna mikoa ni waajiriwa tu serikalini. Mfano mikoa kama Simiyu na kanda ya juu kusini, wakinga ndo wachaga wa Dar. Hakuna biashara kubwa za wahindi wala wachaga pande hizo. Simiyu kuna msukuma mnyantuzu, ni zaidi ya wachaga hawa.

Sema nao elimu duni, kumkuta milionea anayemiliki semi kadhaa anaishi ktk banda bovu ni kawa. Mi naamini imani za kishirikina zikiisha, Tanzania haitakuwa masikini tena.
 
Kuna mlima gani?
Rungwe.
Kwani hujasoma jiografia Mkuu!?
Ni mlima wa volcano na udongo kwenye miguu ya mlima huo unafanana sana na udongo ulio miguuni mwa mlima K/njaro na ndio maana wanalima mazao yanayoshahabiana. Mf. Chai, kahawa na ndizi.
 
Na Mbeya hakuna kiashiria alama yoyote yakudhibitisha kubarikiwa ni mji uliowahi kukumbwa na matatizo ya uchuna ngozi.

Hauna wenyeji wajanja.
Kwa hiyo kashfa ya watu wa Kilimanjaro kupigiwa wake zao na vijana kutoka Kenya haiondoi/punguzi Baraka za huo mji!?
 
Nyie hata msipokuwepo wale hawakwami.
Wao wasipokuwepo huko kwenu ndio basi tena.
Mnasizi
Hapana, hiyo si kanuni ya kiuchumi Mkuu. Wasipokuwepo, demands zikiwepo mwingine atashika nafasi. Wazungu wangeendelea kuwepo nchini, akina Mengi wasingeibuka juu kihivi.
 
Ukiona sehemu CCM haipendwi jua hapo pana Nuru angalia inakopenda yaani hali zao ni mbaya balaaa
Si kweli, Kigoma nadhani ndo upinzani mpya huu ndiko ulikozaliwa. Mbeya ni ccm zaidi.
 
Hakika ni kweli.. Na watu wa Moshi na Arusha daima hawana akili za mbayuwayu na ni watu wenye misimamo isiyoyumba
 
Ongea kuhusu mkoa wako mkuu acha kujipendekeza au kutaka kujihusisha au kujishikiza Dar au Pwani. Hii inathibitisha kwamba huwezi kuongea kuhusu TZ bila kuitaja mikoa hiyo ambayo ni ndoto ya kila MTZ kufika au kufanya kazi.
Wazaramo kitambo walijenga mkoa wa Pwani (Dar kama mkoa ulizaliwa mwaka 1972 na ulikuwa ni sehemu ya Pwani).Hizo picha mlizoposti ni sawa na Dar ya mwaka 1930.Hiyo habari ya kuuza haina maana bali wanapangisha msio na makazi mjini na kisha wenyewe wanapanua miji yao.
 
Kwasasa iko wapi wewe?
Kubarikiwa na Mzungu ni tofauti sana kubarikiwa na Mungu.

Kilimanjaro imebarikiwa na Mungu.
Wapi nimesema ilibarikiwa na Mzungu? Kwanza sijatumia neno Baraka, halileti mantiki kabisa ktk mada hii, natumia neno "kujaliwa", nimesema kuna kipindi cha hao watawala wa kizungu, Tanzania ilikuwa Tanga na Morogoro, hata Dar haikuwepo.

Lakini pia, Morogoro si miongoni mwa mikoa masikini Tanzania. Na kwa miji huwezi fananisha Moro na Moshi, labda na Kahama huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…