kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Wamebarikiwa pia kuchomana visu wakati upande wa pili wamebarikiwa kuua waume zao.....type amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje wazee wa darisalama
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Hasa hasa wale wa pale lumumba
Maeneo ya madukani hapa..Bima kuule..nimepakumbuka sana mtwaraNafikiri Mtwara ndiyo mji uliobarikiwa zaidi japo viongozi wa awamu zilizopita walitaka kuudimimiza lakini bado umesimama.
View attachment 476916
Ndiyo maana mtukufu hawapendi kwa tabia zenu hiziiii....
Watu waliobarikiwa
Ndiyo wanawaletea Maendeleo huko.Kama miji hiyo imebalikiwa wakazi wake wasingekuwa wazururaji maana mmejazana kwenye mikoa ya wenzenu kama kwenu kumekuwa overpopulated halafu mnasema imebarikiwa na mungu.
mnakimbia ugumu wa maisha nani aliwahi kuzikimbia baraka?Ndiyo wanawaletea Maendeleo huko.
Kama Waisrael wengi marekani
HahaaaaType Amen! Upate baraka zako. Acha kelele
Kama miji hiyo imebalikiwa wakazi wake wasingekuwa wazururaji maana mmejazana kwenye mikoa ya wenzenu kama kwenu kumekuwa overpopulated halafu mnasema imebarikiwa na mungu.
Punguza povu huo sio wivu nimekuelezeni ukweliWacha wivu wa kimbwiga wewe
Ni zao la biashara pande hiii karibu mkuu arushaaaaaaaaaaaaaaaaaaUpuuuzi mtupu....vipi zao la bangi aka cha arusha mmeshaacha kulima au.?
hahahah ngushi tehe tehe teheNyie watu wa arusha sijui mtaacha masifa lini?
Kila mahali pamebarikiwa kulingana na mahitaji ya eneo husika
Mkishiba mbege basi mnajiona booora