Miji ya Makombola iliyo chini ya ardhi huko Iran imeangamizwa na majeshi ya Israel

Vip izo ndege za kivita z marekan zilizo dondoka Echolima1
Ndege 3 zliangushwa kwa friendly fire huko Kuwait na moja huko Iraq ni kawaida katika vita mambo kama haya kutokea.

Kwa ujinga na Upumbavu wa Iran anaweza kudai yeye ndiye kuziangusha kitu ambacho hakiwezekani kwa maana Iran sasa hivi haina mifumo ya ulinzi wa anga baada ya kuharibiwa na majeshi ya Israel. Mbali na hivyo Iran hawana Airforce wala Navy baada ya kuangamizwa na ndege-Vita za Israel na Marekani.
 
Kusema Iran haina tena Air Force, Navy au mifumo ya ulinzi wa anga ni propaganda tu za vita. Ukweli ni kwamba hata baada ya mashambulizi, Iran bado ina jeshi la anga lenye mamia ya ndege za kivita pamoja na mifumo mbalimbali ya ulinzi wa anga kama Bavar-373, S-300 na mifumo mingine inayoboreshwa.

Pia Iran imeendelea kuimarisha teknolojia zake za makombora na drones ambazo zina uwezo wa kufika maelfu ya kilomita.

Katika vita, kila upande hutangaza ushindi na kudai ameharibu kila kitu cha adui. Lakini historia inaonyesha kuwa nchi kama Iran bado ina uwezo wa kujibu mashambulizi na kuendelea kupambana. Hivyo kudai kwamba Iran “haina jeshi tena” ni kauli ya kisiasa zaidi kuliko ukweli wa kijeshi.
 
Iran ilikuwa ikijivunia kuficha na ku hifadhi Mabomu na Makombola yao chini ya ardhi mpango wao huo umebuma baada ya tecknolojia ya Israel kuyagundua yalipo na kuwaangamiza.

Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa magaidi wa Iran 🇮🇷

View: https://x.com/imtiazmadmood/status/2032400792808739018?s=61

Ngoja Makamanda wa Irani wakishafuturu jioni ndio tutajua kuwa Missile bado zipo au zimeangamizwa

Ila inaonekana hizi missile za Irani zinawanyima usingizi waisrael wa Chunya
 
Kusema Iran haina tena Air Force, Navy au mifumo ya ulinzi wa anga ni propaganda tu za vita. Ukweli ni kwamba hata baada ya mashambulizi, Iran bado ina jeshi la anga lenye mamia ya ndege za kivita pamoja na mifumo mbalimbali ya ulinzi wa anga kama Bavar-373, S-300 na mifumo mingine inayoboreshwa.
Kama Ana Mifumo ya ulinzi wa anga-Jiulize kwa nini Ndege-vita za Israel zinaingia na kutoka bila shida au kwako wewe nini maana ya Mifumo ya ulinzi wa anga?
Pia Iran imeendelea kuimarisha teknolojia zake za makombora na drones ambazo zina uwezo wa kufika maelfu ya kilomita.
Kuna faida gani wewe kwenda maelfu ya kilomita wakati huna uwezo wa kujilinda kwako?
Katika vita, kila upande hutangaza ushindi na kudai ameharibu kila kitu cha adui. Lakini historia inaonyesha kuwa nchi kama Iran bado ina uwezo wa kujibu mashambulizi na kuendelea kupambana. Hivyo kudai kwamba Iran “haina jeshi tena” ni kauli ya kisiasa zaidi kuliko ukweli wa
Hakuna mtu Ali Yese a Hana Jeshi lakini kwa sasa Iran Hana Airforce,Navy na Hana Mifumo ya ulinzi wa anga na ndiyo maana hajaangusha hata ndege moja ya Israel!!
 
Kusema Iran haina tena Air Force, Navy au mifumo ya ulinzi wa anga ni propaganda tu za vita. Ukweli ni kwamba hata baada ya mashambulizi, Iran bado ina jeshi la anga lenye mamia ya ndege za kivita pamoja na mifumo mbalimbali ya ulinzi wa anga kama Bavar-373, S-300 na mifumo mingine inayoboreshwa.

Pia Iran imeendelea kuimarisha teknolojia zake za makombora na drones ambazo zina uwezo wa kufika maelfu ya kilomita.

Katika vita, kila upande hutangaza ushindi na kudai ameharibu kila kitu cha adui. Lakini historia inaonyesha kuwa nchi kama Iran bado ina uwezo wa kujibu mashambulizi na kuendelea kupambana. Hivyo kudai kwamba Iran “haina jeshi tena” ni kauli ya kisiasa zaidi kuliko ukweli wa kijeshi.
Unaongelea Iran Ipi yenye ulinzi wa anga?
 
Ndo maana post zako unapata replies mbili

Kwanza unapostigi fake news

Pili hufahamu kuandika kutofautisha R na L

Babu jinga wewe

Pambana na kulea wajukuu
Wafuga midevu na Majini mna matatizo sana hasa kipindi cha Mfungo ndiyo maana hata biashara ya kitimoto inadorora sana!!
 
Kama Ana Mifumo ya ulinzi wa anga-Jiulize kwa nini Ndege-vita za Israel zinaingia na kutoka bila shida au kwako wewe nini maana ya Mifumo ya ulinzi wa anga?

Kuna faida gani wewe kwenda maelfu ya kilomita wakati huna uwezo wa kujilinda kwako?

Hakuna mtu Ali Yese a Hana Jeshi lakini kwa sasa Iran Hana Airforce,Navy na Hana Mifumo ya ulinzi wa anga na ndiyo maana hajaangusha hata ndege moja ya Israel!!
Kwanza, ukweli ni kwamba *Iran ina jeshi la anga na ina jeshi la baharini — tofauti kabisa na kusema hawana kabisa. Kwa mujibu wa takwimu za utafiti wa jeshi, Iran ina mamia ya ndege za kijeshi inayotumia (hata kama nyingi ni za zamani) na pia jeshi la baharini lenye meli, submarines na vitengo vya ulinzi baharini — sio “hafifu bila kitu” kama unavyosema. �
Tatizo sio kwamba Iran haina nguvu ya anga au baharini — bali jeshi lao la anga lina mashine za zamani na limekosa teknolojia ya kisasa kama ile ya Israel Defense Forces. Hiyo inamaanisha kwamba hata wanapokuwa na ndege, nguvu hizo hazilingani na hizo za Israel kwa sababu ya teknolojia, mafunzo, na uwezo wa kisasa — si kwamba hawapo kabisa.
Kwa upande wa ulinzi wa anga, Iran ina mifumo kama Bavar‑373 na S‑300 ambazo ni mfumo wa kukamata ndege na makombora, lakini kwa vita vya hivi karibuni mashambulizi mengi ya angani yamevunjwa au kupuuzwa na silaha za ulinzi wa jeshi la Marekani/Israeli. Hii inaonyesha kwamba ulinzi wa anga wa Iran umepata hitilafu kubwa lakini si kwamba ulikua haipo kabisa kabla yake.
Zaidi ya yote: kuongeza kwamba “Iran haina Air Force, Navy au ulinzi wa anga” ni upotoshaji wa wazi wa hali halisi ya kijeshi. Ukweli ni kwamba wana jeshi la anga, jeshi la baharini na vifaa vya ulinzi — lakini ubora, teknolojia, rasilimali, na uwezo wa kufanya operesheni za kisasa ni tofauti sana na Israel.
 
Kwanza, ukweli ni kwamba **Iran ina jeshi la anga na ina jeshi la baharini — tofauti kabisa na kusema hawana kabisa. Kwa mujibu wa takwimu za utafiti wa jeshi, Iran ina mamia ya ndege za kijeshi inayotumia (hata kama nyingi ni za zamani) na pia jeshi la baharini lenye meli, submarines na vitengo vya ulinzi baharini — sio “hafifu bila kitu” kama unavyosema. �
Tatizo sio kwamba Iran haina nguvu ya anga au baharini — bali jeshi lao la anga lina mashine za zamani na limekosa teknolojia ya kisasa kama ile ya Israel Defense Forces. Hiyo inamaanisha kwamba hata wanapokuwa na ndege, nguvu hizo hazilingani na hizo za Israel kwa sababu ya teknolojia, mafunzo, na uwezo wa kisasa — si kwamba hawapo kabisa. �
Kwa upande wa ulinzi wa anga, Iran ina mifumo kama Bavar‑373 na S‑300 ambazo ni mfumo wa kukamata ndege na makombora, lakini kwa vita vya hivi karibuni mashambulizi mengi ya angani yamevunjwa au kupuuzwa na silaha za ulinzi wa jeshi la Marekani/Israeli. Hii inaonyesha kwamba ulinzi wa anga wa Iran umepata hitilafu kubwa lakini si kwamba ulikua haipo kabisa kabla yake.
Zaidi ya yote: kuongeza kwamba “Iran haina Air Force, Navy au ulinzi wa anga” ni upotoshaji wa wazi wa hali halisi ya kijeshi. Ukweli ni kwamba wana jeshi la anga, jeshi la baharini na vifaa vya ulinzi — lakini ubora, teknolojia, rasilimali, na uwezo wa kufanya operesheni za kisasa ni tofauti sana na Israel.
Umesoma hii kitu

Iran ilikuwa ikijivunia kuficha na ku hifadhi Mabomu na Makombola yao chini ya ardhi mpango wao huo umebuma baada ya tecknolojia ya Israel kuyagundua yalipo na kuwaangamiza.

Hili ni pigo kubwa sana kwa utawala wa magaidi wa Iran 🇮🇷

View: https://x.com/imtiazmadmood/status/2032400792808739018?s=61

Hivi unajua Irani ipo mbele kwa technologia kuliko Israel?
Kwa taarifa tu; Irani ipo kwenye Nchi tano Duniani ambazo raia wake wamesoma vizuri hadi Elimu ya juu.
90% ya silaha wanazotumia Irani wanatengeneza wenyewe zikiweno mabomu, Drone nk nk
Kupigana na watu ambao ni wasomi na wanaujuzi wa kila aina ni ngumu; kwani ukiharibu wanatengeneza wenyewe....
MSIICHUKULIE POA IRANI, NCHI ZA ULAYA ZENYEWE ZINAIOGOPA (wasomi na technologia)
 
Muiran wa Mbagala Rangi Tatu.
 
Ndo maana post zako unapata replies mbili

Kwanza unapostigi fake news

Pili hufahamu kuandika kutofautisha R na L

Babu jinga wewe

Pambana na kulea wajukuu
Acha kujibu kwa hasira na personal attacks, hebu mjibu kwa hoja ukiambatanisha data zako ili tulinganishe. Kushindwa kwake kutofautisha L na R just save it for another day.
 
Back
Top Bottom