Miji ya Makombola iliyo chini ya ardhi huko Iran imeangamizwa na majeshi ya Israel

Ndege 3 zliangushwa kwa friendly fire huko Kuwait na moja huko Iraq ni kawaida katika vita mambo kama haya kutokea.

Kwa ujinga na Upumbavu wa Iran anaweza kudai yeye ndiye kuziangusha kitu ambacho hakiwezekani kwa maana Iran sasa hivi haina mifumo ya ulinzi wa anga baada ya kuharibiwa na majeshi ya Israel. Mbali na hivyo Iran hawana Airforce wala Navy baada ya kuangamizwa na ndege-Vita za Israel na Marekani.
Maelezo yasiwe mengi.

Huku dunia ya tatu hatuna mafuta.

Pelekeni MELI STARIT of HORMUZ, maana mnasema Iran kwisha habari.
 
Muiran wa Mbagala Rangi Tatu.
Tuambie kwanza alikochificha Netanyahu tangu ikulu yake kusambaratishwa 2nd March?
Au wewe umewahi kumsikia tena tangu siku hiyo akitoka hewani kujigamba kama mwanzo?
 
Kwanza, ukweli ni kwamba **Iran ina jeshi la anga na ina jeshi la baharini — tofauti kabisa na kusema hawana kabisa. Kwa mujibu wa takwimu za utafiti wa jeshi, Iran ina mamia ya ndege za kijeshi inayotumia (hata kama nyingi ni za zamani) na pia jeshi la baharini lenye meli, submarines na vitengo vya ulinzi baharini — sio “hafifu bila kitu” kama unavyosema. �
Tatizo sio kwamba Iran haina nguvu ya anga au baharini — bali jeshi lao la anga lina mashine za zamani na limekosa teknolojia ya kisasa kama ile ya Israel Defense Forces. Hiyo inamaanisha kwamba hata wanapokuwa na ndege, nguvu hizo hazilingani na hizo za Israel kwa sababu ya teknolojia, mafunzo, na uwezo wa kisasa — si kwamba hawapo kabisa. �
Kwa upande wa ulinzi wa anga, Iran ina mifumo kama Bavar‑373 na S‑300 ambazo ni mfumo wa kukamata ndege na makombora, lakini kwa vita vya hivi karibuni mashambulizi mengi ya angani yamevunjwa au kupuuzwa na silaha za ulinzi wa jeshi la Marekani/Israeli. Hii inaonyesha kwamba ulinzi wa anga wa Iran umepata hitilafu kubwa lakini si kwamba ulikua haipo kabisa kabla yake.
Zaidi ya yote: kuongeza kwamba “Iran haina Air Force, Navy au ulinzi wa anga” ni upotoshaji wa wazi wa hali halisi ya kijeshi. Ukweli ni kwamba wana jeshi la anga, jeshi la baharini na vifaa vya ulinzi — lakini ubora, teknolojia, rasilimali, na uwezo wa kufanya operesheni za kisasa ni tofauti sana na Israel.
Unapost majibu ya AI.
. Iko hivi, wanaposema haina Navy wala ulinzi wa Anga ni kwamba hiyo mifumo yote imebondwa na adui.
Kwa sasa wana Navy jina, Anga jina lakini linapokuja suala la utendaji ni sifuri
 
Kwanza kabisa, hoja yako ya kusema natumia AI haina msingi wowote. Ukiwa kwenye mjadala wa hoja nzito, njia sahihi ni kujibu hoja, si kukimbilia visingizio. Kama huna majibu ya hoja, kusema mtu anatumia AI hakubadilishi ukweli wa mjadala.
Pili, madai yako kwamba Iran haina Navy wala ulinzi wa anga ni kauli isiyoendana na ukweli wa kijeshi. Kila nchi inaweza kupata hasara katika vita au mashambulizi, lakini hasara hizo hazimaanishi kuwa mfumo mzima wa kijeshi umefutika.
Jeshi la Iran bado lina vikosi rasmi vya Islamic Republic of Iran Navy na Islamic Republic of Iran Air Defense Force, ambavyo vina vifaa, wanajeshi na miundombinu ya kijeshi. Zaidi ya hayo, Iran imeunda mifumo yake ya ulinzi wa anga kama Bavar‑373, ambayo ilitengenezwa kama mbadala wa mfumo wa S‑300 wa Urusi.
Kwa hiyo kusema Iran haina Navy au ulinzi wa anga ni tafsiri ya kisiasa au propaganda, si tathmini ya kitaalamu ya nguvu za kijeshi. Ukweli ni kwamba hata mataifa makubwa duniani hupata hasara vitani, lakini hilo halimaanishi kwamba uwezo wao wa kijeshi unakuwa sifuri.
Kwa kifupi:
Katika mjadala wa kimkakati, hoja hupimwa kwa ushahidi na mantiki, si kwa maneno ya kudharau au kudai mtu anatumia AI.
 
Manneo mengi ya nini?

Muda huu marubani wa Israel huwa wanapiga hadi selfie wakiwa kwenye angala la Iran sasa hapo wana ulinzi gani wa anga?
Au kwako wewe tafsiri ya ulinzi wa anga ni upi?

Au unawezaje kusema una jeshi la maji na huna meli au kifaa hata kimoja huko majini utaenda kupambana kwa kuogelea?
 
Attachments

  • HDXPBX7acAA2C8_.jpeg
    HDXPBX7acAA2C8_.jpeg
    82.4 KB · Views: 20
Manneo mengi ya nini?

Muda huu marubani wa Israel huwa wanapiga hadi selfie wakiwa kwenye angala la Iran sasa hapo wana ulinzi gani wa anga?
Au kwako wewe tafsiri ya ulinzi wa anga ni upi?

Au unawezaje kusema una jeshi la maji na huna meli au kifaa hata kimoja huko majini utaenda kupambana kwa kuogelea?
Kuwepo kwa selfie au mashambulizi madogo hakumaanishi kuwa mfumo wa kijeshi haupo. Ulinzi wa anga ni mfumo wa rada, makombora na vikosi vinavyofanya kazi kila wakati—na Iran bado ina Islamic Republic of Iran Air Defense Force na mifumo kama Bavar-373.
Jeshi la majini lina vikosi rasmi, manowari na boti za haraka zinazofanya operesheni katika Persian Gulf.
 
Kwanza kabisa, hoja yako ya kusema natumia AI haina msingi wowote. Ukiwa kwenye mjadala wa hoja nzito, njia sahihi ni kujibu hoja, si kukimbilia visingizio. Kama huna majibu ya hoja, kusema mtu anatumia AI hakubadilishi ukweli wa mjadala.
Pili, madai yako kwamba Iran haina Navy wala ulinzi wa anga ni kauli isiyoendana na ukweli wa kijeshi. Kila nchi inaweza kupata hasara katika vita au mashambulizi, lakini hasara hizo hazimaanishi kuwa mfumo mzima wa kijeshi umefutika.
Jeshi la Iran bado lina vikosi rasmi vya Islamic Republic of Iran Navy na Islamic Republic of Iran Air Defense Force, ambavyo vina vifaa, wanajeshi na miundombinu ya kijeshi. Zaidi ya hayo, Iran imeunda mifumo yake ya ulinzi wa anga kama Bavar‑373, unambayo ilitengenezwa kama mbadala wa mfumo wa S‑300 wa Urusi.
Kwa hiyo kusema Iran haina Navy au ulinzi wa anga ni tafsiri ya kisiasa au propaganda, si tathmini ya kitaalamu ya nguvu za kijeshi. Ukweli ni kwamba hata mataifa makubwa duniani hupata hasara vitani, lakini hilo halimaanishi kwamba uwezo wao wa kijeshi unakuwa sifuri.
Kwa kifupi:
Katika mjadala wa kimkakati, hoja hupimwa kwa ushahidi na mantiki, si kwa maneno ya kudharau au kudai mtu anatumia AI.
Una ID mbili bwana Echolima1
 
Ndo maana post zako unapata replies mbili

Kwanza unapostigi fake news

Pili hufahamu kuandika kutofautisha R na L

Babu jinga wewe

Pambana na kulea wajukuu
waajemi wa gongo la mboto mna tabu kweli,kwa hiyo wewe huwa ukipost unataka replies nyingi au uhabarishe umma? Echolima1 huwa anakuhabarisha kuhusu habari za israel nawe kama unamuonea wivu tuhabarishe na wewe kuhusu habari za waajemi upate replies nyingi.
 
Kwa hiyo hawtorusha tena makombora?
Wewe wasema!!!!!
Lakini mimi nikuambia ule mji wa makombola uliokuw unasemwa na kila mtu umeshaangamuzwa!!

Tecknolojia ya kuyatambua mahandaki hayo Tayari Israel inayo!!
 
Ndege 3 zliangushwa kwa friendly fire huko Kuwait na moja huko Iraq ni kawaida katika vita mambo kama haya kutokea.

Kwa ujinga na Upumbavu wa Iran anaweza kudai yeye ndiye kuziangusha kitu ambacho hakiwezekani kwa maana Iran sasa hivi haina mifumo ya ulinzi wa anga baada ya kuharibiwa na majeshi ya Israel. Mbali na hivyo Iran hawana Airforce wala Navy baada ya kuangamizwa na ndege-Vita za Israel na Marekani.
Sasa mbona Trump anaomba msaada mpaka kwa mchina ili iweje? Kama tayari wanamiliki anga la Iran? Tatizo mnasikiliza uongo wa Trump bila kujiuliza mara mbili.
 
Kwa hiyo ninyi Wafiwa baada ya Gaidi Khamenei kuangamizwa mnataka mmpangie Trump cha kufanya?

Israel ndiye anayelimiliki anga la Iran na walio mwangamiza Gaidi Khamenei ni marubani wa kike wa Israe sasa tunataka mtuambie huyu Gaidi Khamenei amekosa sifa ya kupata wale Mabikira 72 kwa sababu kauliwa na wanawake?
 
Back
Top Bottom