Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
View: https://youtube.com/shorts/b8AgRu-GIKI?si=e9Svn-GDJNh9fuiG
Huyu mtoa mada muwe mnacheka tu sijui anazitolea habari kwenye toilet paper.
Hebu msikilizeni Ayatollah Mujtaba alipo sema leo ndio nimeanza madaraka nilio kabidhiwa.
Afu kuna wajinga wanadai kaumia kichwa sijui hataki kutoa speech anatuma ujumbe tu, hawajui huyu Mujtaba tokea zamani hapendi kutoka toka kwenye tv