Miji ya Makombola iliyo chini ya ardhi huko Iran imeangamizwa na majeshi ya Israel


View: https://youtube.com/shorts/b8AgRu-GIKI?si=e9Svn-GDJNh9fuiG
Huyu mtoa mada muwe mnacheka tu sijui anazitolea habari kwenye toilet paper.

Hebu msikilizeni Ayatollah Mujtaba alipo sema leo ndio nimeanza madaraka nilio kabidhiwa.

Afu kuna wajinga wanadai kaumia kichwa sijui hataki kutoa speech anatuma ujumbe tu, hawajui huyu Mujtaba tokea zamani hapendi kutoka toka kwenye tv
 
Endeleeni tu kusema uongo kwa ajili ya Mnyazimungu wenu!!

Hizo TAQIYYAH haiwezi kuwasaidia chochote kipondo kiko palepale tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…