mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
Unajuaje Kama wamepotea na ww haupo??Mimi kwangu Kuna mijusi mingi chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Ukiwaua utaambulia kujiingiza kwenye gharama za kununua dawa za kuua wadudu, hasara kwako.Wakuu habari ya uzima?
Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanao zurura ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhari.
Hili la kunya nakuunga mkono [emoji817]% yan mavi kibao ukutaniHata kwangu wapo sana,tatizo kubwa wanakunyaunya ovyo yananuka atari
Kwa nini kwa hasira?Mm paka wangu huwakamata na kuwatafuna kwa hasira hao mijusi
Duh hii habar mpya kwangu.Nu kweli wanatumika kichawi wapo kama ma spy
Sio paka dume tu hata paka jike husafisha sana nyumba mijusi wa aina zote wanaliwa tu.Tafuta paka dume,paka hukamata kila kitaambacho ndani ya nyumba,nyoka,panya,mijus n.k
Mm paka wangu huwakamata na kuwatafuna kwa hasira hao mijusi.
Wametoeka kabisa nyumbani.
Wachache wapo store na chooni.
Sasa hili paka hupenda kuangaza angaza macho chooni akiona huunguruma na kuwaarukia hasa wale walio karibu kwa kimo.
Hata Mbu?Watakula wadudu wote watambaao na warukao, waache tu.
Mijusi acha kabisa ni ya kuua kabisa, wana sumu kali hao, wakiangukia kwenye sufuria ya chakula na akaivia kwenye chakula, mkila hicho chakula ni nyumba nzima mtakufaMkuu hao achana nao wanasaidia sana mambo mengi hujui tu
Itakua kwako kuna wadudu wengi unaporudi unakuwa sio mtu wa kusafisha nyumba au unakula chakula kila sehem, jitahid kuwa msafi ... mijusi wanakua kwa wingi pale tu kunapokua na wadudu, mende, sisimizi .. wale wanaokula sukari n.k .. ili kuindoa chain hiyo usafi muhimMimi kwangu Kuna mijusi mingi chakushangaza nikisafiri na mijusi hupotea siku nikirudi tu ndani ya nusu saa wamerudi, Hadi hushangaa sijawahigi kuwaza kuwaua maana Wana umuhimu wao.
Hata ikipigwa plasta na rangi, mjusi akiwa anatembea ana produce kemikali fulani mwilini inayomfanya anaganda ukutani au kwenye roofKama nyumba haijapigwa plasta inawafanya wanakuwa wepesi kushika ukuta na hawatelezi,ila kama imepigwa plasta wanateleza.
Ngoja wataalam wa mijusi waje.
Hao sio mijusi umezidisha chumviWakiwakosa wadudu watatoboa kabati,mabegi,pochi na hata kuwa ng'ata miguu wenye nyumba
Swali hili na mimi nilijiulizaUkiondoka unajuaje kama na wao hupotea?
Miss you alreadyKwa nini kwa hasira?
Mnatakiwa mpige fumagation kuua kila aina wadudu, sio kutegemea mjusi kuua wadudu wengine wakati hao mijusi pia ni hatari sana, wakiingia kwenye chakula wanaua familia nzimaWaache wanasaidia kutafuna mbu ,nge ,mende ,tandu etc
Dada yako anapenda kuua tu viumbe vya mungu.. Ila nyumba kuwa na mijusi ni uchafu mkubwaMkuu HV hii ya nguvu za Giza ni kweli, maana Nina Dada yangu kaokoka uwa anapambana nao anawaua Yani akimwona ndani kwake bas kifo Mimi uwa naona Kama anawaonea ukizingatia Mimi bado mchanga Sana kiimani
Nyumba nung zenye mijusi ziko maeneo ambayo no makazi mapya ya watuDada yako anapenda kuua tu viumbe vya mungu.. Ila nyumba kuwa na mijusi ni uchafu mkubwa