Ndio maana nikasema najadiliana na mtu ambaye hajui kitu chochote, Tajweed ni fani inayo kufanya mtu usikosee katika kusoma Qur'aan, yaani inakupa kanuni za kuisoma Qur'aan vizuri, kwahiyo Tajweed ipo katika viraa vyote hivyo kumi.Nimekuambia uniambie na unionyeshe tatizo liko wapi kwemye kuonyesha..
Na ndo maana nikakuuliza Ulisoma Tajweed kweli?
Ushahidi popote ila uwe unao thibitisha ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume.Hebu sema sasa unataka ushahidi utoke wapi
Popote wapi mzee hebu eleweka. Haiwezekani mwaka 600 ambapo mudi anazaliwa Bible isiwepo. Unaposema ushahidi utoke popote sema popote wapi! Unachotakiwa kujua ni kwamba Biblia ni ya kale zaidi kuliko hiyo Quran ya mwaka 600.Ushahidi popote ila uwe unao thibitisha ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume.
Hivi unaelewa ninacho kiandika ? Mbona unakimbia swali, wewe si ndio mwenye ushahidi Sasa vipi nikupangie wapi pa kutoa huo ushahidi ?Popote wapi mzee hebu eleweka. Haiwezekani mwaka 600 ambapo mudi anazaliwa Bible isiwepo. Unaposema ushahidi utoke popote sema popote wapi! Unachotakiwa kujua ni kwamba Biblia ni ya kale zaidi kuliko hiyo Quran ya mwaka 600.
Hakuna popote ambapo utakuta maandishi au masimulizi ya kueleza uwepo wa Biblia kabla ya mudi kwa sababu ni Jambo ambalo lipo wazi na halina mjadala.Hivi unaelewa ninacho kiandika ? Mbona unakimbia swali, wewe si ndio mwenye ushahidi Sasa vipi nikupangie wapi pa kutoa huo ushahidi ?
Wewe si unaijua Biblia ? Sasa hiyo Biblia yenu ndio uonyeshe ya kuwa kipindi cha Mtume ilikuwepo. Tofautiaha kati ya mabaki ya Injili na Taurati hivi ni vitu kando, na Mimi Nina ushahidi wa kuonyesha vilikuwepo bali Kuna watu walikuwa na elimu juu ya Injili na Taurati, nachotaka Mimi ni ushahidi kuonyesha hii Biblia yenu yenye vitabu hivyo kipindi cha Mtume ilikuwepo.
Sasa ukija usije na hizi stori sababu utakuwa unapoteza muda tu.
Jibu Zuri sana maana kama anakataa ushahidi anaopewa bhasi alete ushahidi kuwa hakikuwepo...Hakuna popote ambapo utakuta maandishi au masimulizi ya kueleza uwepo wa Biblia kabla ya mudi kwa sababu ni Jambo ambalo lipo wazi na halina mjadala.
We kama unahisi haikuwepo ndo ulete ushahidi wa kuonyesha kwamba haikuwepo. Kuwepo kwa biblia before kuzaliwa mudi haijawahi kuwa jambo la kujadiliwa kwa sababu kila mtu (muislam na mkristo) analijua hilo.
Kuna maeneo hua nakubaliana na quran bilashakaBut the Quran is perfect. Allahu akbar
Siku mtume anapatq wahya wa kwanzs kwenye pango. Alipelekwa kwa Waraqa ibn Naufal, Mkristo mwarabu mpwa wa mke wake. Huyu jamaa alikuwa anatafsiri agano jipya kwa kiarabu. Mtume alikqq sana hapo.Jibu Zuri sana maana kama anakataa ushahidi anaopewa bhasi alete ushahidi kuwa hakikuwepo...
Ni kama mahakamani tu ukisema fulani hayuko sahihi bhasi inabidi ulete uthibitisho wa usahihi wako..
Na kama anasema kuwa Kulikuwa na Torati (Torati ni vitabu vitano pentateuch) na Injili kipindi hicho ilikuwa ina vitabu Zaidi ya 7..
Lakini Kumbuka Kuwa Baada ya Torati kulikuwa na Habari za Yoshua Bin Nun...na baadae habari za ufalme...
Sasa ziliandikwa wapi hizo...
Tunasubiri ushahidi kwamba Biblia haikuwepo tutafurahi sana kupata kitu kipya ...Sana snaa mimi
Kisai
HIcho nimeshamwambia na nikamwambia na vingine kibao ila hataki kuelewa......(Kwa kigezo kuwa anataka ushahidi - sasa sjui ushahidi gani)Siku mtume anapatq wahya wa kwanzs kwenye pango. Alipelekwa kwa Waraqa ibn Naufal, Mkristo mwarabu mpwa wa mke wake. Huyu jamaa alikuwa anatafsiri agano jipya kwa kiarabu. Mtume alikqq sana hapo.
Huwezi kupoteza Muda kijadili hiki na muislam mvivu wa maarifa. Hii hadith inapatikana katika authentic hadith Sahih Bukhari
Sasa kama ni jambo ambalo liko wazi maana yake ni rahisi sana kulitolea ushahidi. Maana yake kushindwa kwake ni kuwa hakuna ushahidi.Hakuna popote ambapo utakuta maandishi au masimulizi ya kueleza uwepo wa Biblia kabla ya mudi kwa sababu ni Jambo ambalo lipo wazi na halina mjadala.
We kama unahisi haikuwepo ndo ulete ushahidi wa kuonyesha kwamba haikuwepo. Kuwepo kwa biblia before kuzaliwa mudi haijawahi kuwa jambo la kujadiliwa kwa sababu kila mtu (muislam na mkristo) analijua hilo.
NdioHuyu jamaa i think I am Done with him..
matunduizi na wakristo wengine..
According to title unaamini biblia haina makosa na contradiction?
Sio kwamba nakataa jibu ninalo pewa, bali majibu mnayo toa hayajibu swali langu. Elewa hiki ninacho kiandika na swali langu linataka nini.Jibu Zuri sana maana kama anakataa ushahidi anaopewa bhasi alete ushahidi kuwa hakikuwepo...
Ni kama mahakamani tu ukisema fulani hayuko sahihi bhasi inabidi ulete uthibitisho wa usahihi wako..
Na kama anasema kuwa Kulikuwa na Torati (Torati ni vitabu vitano pentateuch) na Injili kipindi hicho ilikuwa ina vitabu Zaidi ya 7..
Lakini Kumbuka Kuwa Baada ya Torati kulikuwa na Habari za Yoshua Bin Nun...na baadae habari za ufalme...
Sasa ziliandikwa wapi hizo...
Tunasubiri ushahidi kwamba Biblia haikuwepo tutafurahi sana kupata kitu kipya ...Sana snaa mimi
Kisai
Huko tumeshafanya kwakuwa sisi tumeshatoa ushahidi wetu wote..Sio kwamba nakataa jibu ninalo pewa, bali majibu mnayo toa hayajibu swali langu. Elewa hiki ninacho kiandika na swali langu linataka nini.
Msilete stroi ambazo hazijibu maswali yangu. Sasa shirikianeni mlete ushahidi ya kuwa kipindi Mtume Biblia ilikuwepo.
Hakuna ushahidi unao onyesha ya kuwa alikuwa anatafsiri agano kipya bali alikuwa ni Mjuzi wa maandiko ya kale, na ndio maana alikuwa na kumkiri Mtume na kujua ya kuwa huyu ni Mtume ambaye aliye tabiriwa katika Taurati na Injili.Siku mtume anapatq wahya wa kwanzs kwenye pango. Alipelekwa kwa Waraqa ibn Naufal, Mkristo mwarabu mpwa wa mke wake. Huyu jamaa alikuwa anatafsiri agano jipya kwa kiarabu. Mtume alikqq sana hapo.
Huwezi kupoteza Muda kijadili hiki na muislam mvivu wa maarifa. Hii hadith inapatikana katika authentic hadith Sahih Bukhari
Firstly its has to stick on what is written not opinion...Ndio
Huko tumeshafanya kwakuwa sisi tumeshatoa ushahidi wetu wote..
Tunakuuliza weewe kutupa ushahidi kwamba haukuwepo sasa na wewe kama ukishindwa hauoni unakuwa hauna tofauti na sisi?
Bhasi tumeombs wewe utupe ushahidi unaoweza kujibu hojs yako ila naona blah blah nyingi unatoa..Ushahidi mlio utoa haujibu swali nililo uliza, Sasa utakuwaje kuwa ni ushahidi ?
Mkuu weka maandiko ili um prove wrong.wacha niwe mpiga porojo,siwezi mfundisha mtu wa theolojia kiwango cha shahada mimi😂😂😂😂
Ndio maana mnashangaza tabia zetu mmeikariri badala ya kuielewa!unaikariri kwa lugha isiyo yako ndio maana mnashindwa kutoa mhadhara kwa lugha hiyo hiyo mkiwa arabuni.Swali Lako Majibu Yapo QUR'AN 12:2 "Hakika Tumeiteresha Qur'an Kwa Kiarabu Ili Mpate Mazingatio" Biblia Iliyoandikwa Kwa Kila Lugha Wakristo Hawaijui Na Hakuna Hata Mmoja Duniani Aliyeikariri Yote Au Hata Agano La Kale Pekee Lakini Quran Iliyoshushwa Kwa Kiarabu Mpaka Watoto Wa Miaka 10 Wamekariri Yote Tena Waswahili Kabisa Wa Buza Hawana Uarabu Hata Wa Kusingizia,simamisha Muislamu Yoyote Mwambie Akusomee Quran Ataisoma Hata Waislamu Wa Kinyakyusa.Hayo Ndo Mazingatio.Tunaisoma Kama Alivyoisoma Mtume Na Tunaifuata Na Haipingiki Waislamu Ndo Wanaongoza Kwa Tabia Njema Wewe Mwenyewe Shahidi. Kushushwa Kwa Lugha Moja Ndo Kunafanya Mwafrika,mzungu Na Mchina Wakati Wa Ibada Wote Wanaelewana