Ndio maana nikasema najadiliana na mtu ambaye hajui kitu chochote, Tajweed ni fani inayo kufanya mtu usikosee katika kusoma Qur'aan, yaani inakupa kanuni za kuisoma Qur'aan vizuri, kwahiyo Tajweed ipo katika viraa vyote hivyo kumi.Nimekuambia uniambie na unionyeshe tatizo liko wapi kwemye kuonyesha..
Na ndo maana nikakuuliza Ulisoma Tajweed kweli?
Tafuta kitabu "Hirz al Aman wa Waj'hu tihaan" kinaelezea viraa.
Angalia mamashindano ya Qur'an utaona.