Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

Nimekuambia uniambie na unionyeshe tatizo liko wapi kwemye kuonyesha..
Na ndo maana nikakuuliza Ulisoma Tajweed kweli?
Ndio maana nikasema najadiliana na mtu ambaye hajui kitu chochote, Tajweed ni fani inayo kufanya mtu usikosee katika kusoma Qur'aan, yaani inakupa kanuni za kuisoma Qur'aan vizuri, kwahiyo Tajweed ipo katika viraa vyote hivyo kumi.

Tafuta kitabu "Hirz al Aman wa Waj'hu tihaan" kinaelezea viraa.

Angalia mamashindano ya Qur'an utaona.
 
Ushahidi popote ila uwe unao thibitisha ya kuwa Biblia ilikuwepo kipindi cha Mtume.
Popote wapi mzee hebu eleweka. Haiwezekani mwaka 600 ambapo mudi anazaliwa Bible isiwepo. Unaposema ushahidi utoke popote sema popote wapi! Unachotakiwa kujua ni kwamba Biblia ni ya kale zaidi kuliko hiyo Quran ya mwaka 600.
 
Hivi unaelewa ninacho kiandika ? Mbona unakimbia swali, wewe si ndio mwenye ushahidi Sasa vipi nikupangie wapi pa kutoa huo ushahidi ?

Wewe si unaijua Biblia ? Sasa hiyo Biblia yenu ndio uonyeshe ya kuwa kipindi cha Mtume ilikuwepo. Tofautiaha kati ya mabaki ya Injili na Taurati hivi ni vitu kando, na Mimi Nina ushahidi wa kuonyesha vilikuwepo bali Kuna watu walikuwa na elimu juu ya Injili na Taurati, nachotaka Mimi ni ushahidi kuonyesha hii Biblia yenu yenye vitabu hivyo kipindi cha Mtume ilikuwepo.

Sasa ukija usije na hizi stori sababu utakuwa unapoteza muda tu.
 
Hakuna popote ambapo utakuta maandishi au masimulizi ya kueleza uwepo wa Biblia kabla ya mudi kwa sababu ni Jambo ambalo lipo wazi na halina mjadala.
We kama unahisi haikuwepo ndo ulete ushahidi wa kuonyesha kwamba haikuwepo. Kuwepo kwa biblia before kuzaliwa mudi haijawahi kuwa jambo la kujadiliwa kwa sababu kila mtu (muislam na mkristo) analijua hilo.
 
Jibu Zuri sana maana kama anakataa ushahidi anaopewa bhasi alete ushahidi kuwa hakikuwepo...

Ni kama mahakamani tu ukisema fulani hayuko sahihi bhasi inabidi ulete uthibitisho wa usahihi wako..

Na kama anasema kuwa Kulikuwa na Torati (Torati ni vitabu vitano pentateuch) na Injili kipindi hicho ilikuwa ina vitabu Zaidi ya 7..

Lakini Kumbuka Kuwa Baada ya Torati kulikuwa na Habari za Yoshua Bin Nun...na baadae habari za ufalme...
Sasa ziliandikwa wapi hizo...

Tunasubiri ushahidi kwamba Biblia haikuwepo tutafurahi sana kupata kitu kipya ...Sana snaa mimi
Kisai
 
But the Quran is perfect. Allahu akbar
Kuna maeneo hua nakubaliana na quran bilashaka

Tunakusanywa kama tuko clinic wakati biblia inatufunza mungu yuko mbinguni na mahali pote ulimwenguni

Nikijisalia nyumbani kunashida gani
 
Jibu Zuri sana maana kama anakataa ushahidi anaopewa bhasi alete ushahidi kuwa hakikuwepo...

Ni kama mahakamani tu ukisema fulani hayuko sahihi bhasi inabidi ulete uthibitisho wa usahihi wako..

Na kama anasema kuwa Kulikuwa na Torati (Torati ni vitabu vitano pentateuch) na Injili kipindi hicho ilikuwa ina vitabu Zaidi ya 7..

Lakini Kumbuka Kuwa Baada ya Torati kulikuwa na Habari za Yoshua Bin Nun...na baadae habari za ufalme...
Sasa ziliandikwa wapi hizo...

Tunasubiri ushahidi kwamba Biblia haikuwepo tutafurahi sana kupata kitu kipya ...Sana snaa mimi
Kisai
Siku mtume anapatq wahya wa kwanzs kwenye pango. Alipelekwa kwa Waraqa ibn Naufal, Mkristo mwarabu mpwa wa mke wake. Huyu jamaa alikuwa anatafsiri agano jipya kwa kiarabu. Mtume alikqq sana hapo.

Huwezi kupoteza Muda kijadili hiki na muislam mvivu wa maarifa. Hii hadith inapatikana katika authentic hadith Sahih Bukhari
 
HIcho nimeshamwambia na nikamwambia na vingine kibao ila hataki kuelewa......(Kwa kigezo kuwa anataka ushahidi - sasa sjui ushahidi gani)

Na nikamuuliza kuwa Quran inaposema Ahlul Kitab inamaanisha nini (Maana ahlul kitabu ni watu waliopewa kitabu na kwa mujibu wa Quran ni Wakristo na Wayahudi)..

Na kingine mtume alikuwa na mijadala mingu sana na Wakristo na Wayahudi katika makanisa na masinagogi na nyumbani...

So kama kulikuwa na wakristo na wayahudi...
Ili Myahidi aitwe myahudi Lazma kuwepo na TANAKH (Biblia ya kiyahudi)
Ambayo kwa kihistoria Yeye mwenyewe aliwahi kukubali hapa hapa kuwa kulikuwa na Talmud Sasa talmud ina Tafasiri TANAKH ...(Biblia ya kiyahudi.....ambayo huanzia Mwanzo mpaka malaki)

Kea wakristo vile vile ...
Mkristo ili aweze kuitwa Mkristo lazima kuwepo Nyaraka mbalimbali na harakati za mitume (Matendo ya mitume kueneza injili)

So kama Ukisema kulikuwa kuna ukristo automatic unakubali authentification wa Nyaraka na Harakati za mitume (Matendo ya mitume) ...

Na kingine kwa Mujibu Wa Watafiti na Wanatheolojia wote Injili iliandikwa baada ya Kuwepo kwa Nyaraka yaani ilianza kwanza kuwepo nyaraka baadae injili..

Kama anakubali kuwa Injili ilikuwepo Ntamshangaa kusema hakubali other part of the bible other wise tutakuwa tunaongea na mtu asiye kuwa na elimu bila kujua...

BCC:- Kisai
 
Hakuna popote ambapo utakuta maandishi au masimulizi ya kueleza uwepo wa Biblia kabla ya mudi kwa sababu ni Jambo ambalo lipo wazi na halina mjadala.
We kama unahisi haikuwepo ndo ulete ushahidi wa kuonyesha kwamba haikuwepo. Kuwepo kwa biblia before kuzaliwa mudi haijawahi kuwa jambo la kujadiliwa kwa sababu kila mtu (muislam na mkristo) analijua hilo.
Sasa kama ni jambo ambalo liko wazi maana yake ni rahisi sana kulitolea ushahidi. Maana yake kushindwa kwake ni kuwa hakuna ushahidi.

Mpaka hapa naona jambo hili limekushinda.
 
Jibu Zuri sana maana kama anakataa ushahidi anaopewa bhasi alete ushahidi kuwa hakikuwepo...

Ni kama mahakamani tu ukisema fulani hayuko sahihi bhasi inabidi ulete uthibitisho wa usahihi wako..

Na kama anasema kuwa Kulikuwa na Torati (Torati ni vitabu vitano pentateuch) na Injili kipindi hicho ilikuwa ina vitabu Zaidi ya 7..

Lakini Kumbuka Kuwa Baada ya Torati kulikuwa na Habari za Yoshua Bin Nun...na baadae habari za ufalme...
Sasa ziliandikwa wapi hizo...

Tunasubiri ushahidi kwamba Biblia haikuwepo tutafurahi sana kupata kitu kipya ...Sana snaa mimi
Kisai
Sio kwamba nakataa jibu ninalo pewa, bali majibu mnayo toa hayajibu swali langu. Elewa hiki ninacho kiandika na swali langu linataka nini.

Msilete stroi ambazo hazijibu maswali yangu. Sasa shirikianeni mlete ushahidi ya kuwa kipindi Mtume Biblia ilikuwepo.
 
Huko tumeshafanya kwakuwa sisi tumeshatoa ushahidi wetu wote..

Tunakuuliza weewe kutupa ushahidi kwamba haukuwepo sasa na wewe kama ukishindwa hauoni unakuwa hauna tofauti na sisi?
 
Siku mtume anapatq wahya wa kwanzs kwenye pango. Alipelekwa kwa Waraqa ibn Naufal, Mkristo mwarabu mpwa wa mke wake. Huyu jamaa alikuwa anatafsiri agano jipya kwa kiarabu. Mtume alikqq sana hapo.

Huwezi kupoteza Muda kijadili hiki na muislam mvivu wa maarifa. Hii hadith inapatikana katika authentic hadith Sahih Bukhari
Hakuna ushahidi unao onyesha ya kuwa alikuwa anatafsiri agano kipya bali alikuwa ni Mjuzi wa maandiko ya kale, na ndio maana alikuwa na kumkiri Mtume na kujua ya kuwa huyu ni Mtume ambaye aliye tabiriwa katika Taurati na Injili.

Kwahiyo usilete maana ambazo hazipo kwenye Hadithi.

Wewe tuwekee hiyo hadithi kisha uonyeshe alikuwa anatafisir agano jipya.
 
Firstly its has to stick on what is written not opinion...

Tuanze na MAZAZI YA YESU....(Tuanze na vitu vidogo kwanza simple starter)

TUanze na jina la babu yake yesu!

Baba yake ya Yoseph (Yusuph) katika Luka 3:23 alikuwa Eli

Ila baba yake yoseph (yusuph) katika Mathayo 1:16 inasema aliitwa Yakobo...

So ukiulizwa who was the father of Joseph utasema nani?..
Utatumia Refference ya Mathayo au luka na kwanini?
 
Huko tumeshafanya kwakuwa sisi tumeshatoa ushahidi wetu wote..

Tunakuuliza weewe kutupa ushahidi kwamba haukuwepo sasa na wewe kama ukishindwa hauoni unakuwa hauna tofauti na sisi?

Ushahidi mlio utoa haujibu swali nililo uliza, Sasa utakuwaje kuwa ni ushahidi ?
 
Bhasi tumeombs wewe utupe ushahidi unaoweza kujibu hojs yako ila naona blah blah nyingi unatoa..
Siku zote msomi hana blah blah blah zaidi ya kutua authentic Facts..
So umeprove hata wewe ulichokuwa unahoji hukijui
 
Swali Lako Majibu Yapo QUR'AN 12:2 "Hakika Tumeiteresha Qur'an Kwa Kiarabu Ili Mpate Mazingatio" Biblia Iliyoandikwa Kwa Kila Lugha Wakristo Hawaijui Na Hakuna Hata Mmoja Duniani Aliyeikariri Yote Au Hata Agano La Kale Pekee Lakini Quran Iliyoshushwa Kwa Kiarabu Mpaka Watoto Wa Miaka 10 Wamekariri Yote Tena Waswahili Kabisa Wa Buza Hawana Uarabu Hata Wa Kusingizia,simamisha Muislamu Yoyote Mwambie Akusomee Quran Ataisoma Hata Waislamu Wa Kinyakyusa.Hayo Ndo Mazingatio.Tunaisoma Kama Alivyoisoma Mtume Na Tunaifuata Na Haipingiki Waislamu Ndo Wanaongoza Kwa Tabia Njema Wewe Mwenyewe Shahidi. Kushushwa Kwa Lugha Moja Ndo Kunafanya Mwafrika,mzungu Na Mchina Wakati Wa Ibada Wote Wanaelewana
Ndio maana mnashangaza tabia zetu mmeikariri badala ya kuielewa!unaikariri kwa lugha isiyo yako ndio maana mnashindwa kutoa mhadhara kwa lugha hiyo hiyo mkiwa arabuni.
 
Back
Top Bottom