Mikasa/vituko vya lodge

Mkuu mwaka gani iyo ..

Nilikua kwiro pale 2007-2010.. tumepanda sana mafuso..

Mabasi machache afu kipindi cha mvua hayaendi. Nakumbuka moro best na ile chimpanzee [emoji2]
 
Mkuu mwaka gani iyo ..

Nilikua kwiro pale 2007-2010.. tumepanda sana mafuso..

Mabasi machache afu kipindi cha mvua hayaendi. Nakumbuka moro best na ile chimpanzee [emoji2]
Kipindi hicho nasoma pale KWIRO HIGH SCHOOL 2008--2010 nilikuwa naogopa sana pale kivukoni na ule mlima Ndololo ,ila kipindi nasoma pale vijana wengi walikuwa na videmu ST.AGNES SEKONDARI na REGNAMUND ila kuna mwanafunzi tulikuwa tunasoma darasa moja ,alikuwa anasoma HKL alimpa mimba mwalimu mmoja ,mwalimu KIMBUNGA akasuspend mpaka siku ya mtihani wa Taifa
 
Duuh mademu wa huko ni wale wa kienyeji kabisa
 
[emoji23][emoji23] kimbunga alikuja 2009, kabla alikuwepo mwingira.

Yule kimbunga hatatusahau, kuna siku tulileta mgomo akakimbilia polisi.
 
Ile ya mzee Samwel mwenyewe ya mwishoni kabisaa et ndio ilikuwa inaonekana nzuri kuliko zote kwa Shirima, japo kwanzia hapo Hungumalwa ,Mwamashimba, na Shirima kuna umalaya utadhani sio kijijini duuuh
Malori ndio maana. Hungumalwa yanasimama sana.
 
[emoji23][emoji23] kimbunga alikuja 2009, kabla alikuwepo mwingira.

Yule kimbunga hatatusahau, kuna siku tulileta mgomo akakimbilia polisi.
Vujana wa Kwiro mlikuaga wakorofi huo mgomo niliusikiaga! Afu mlikua huru sana mnaachiwa sana pale sijajua sikuhizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…