camily
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 257
- 621
Mkuu mwaka gani iyo ..Hahah long long memory best !!!!!!
Mlima unaitwa ndororo!
Kipindi nilimaliza six, nilipata tempo flani huko,,,, ! Dah! Maisha ya kule achaaa !!!!!! Naikumbuka mitaa ya mahenge , nawenge,,, uponera n.k!
Mabus ya huko kipnd hicho Ni Moro best ,,, alsaedy na kidinilo ndo zinaingia ingia !!! [emoji2][emoji2][emoji1]!
Samaki wa motooo na ndz kivukoni pale,,,, Bei maandazi kabisa [emoji2][emoji1][emoji2]
Nilikua kwiro pale 2007-2010.. tumepanda sana mafuso..
Mabasi machache afu kipindi cha mvua hayaendi. Nakumbuka moro best na ile chimpanzee [emoji2]