Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

Hivi wale Kabudi na lukuvi tuliambiwa Nazi yao kupitia mikataba ya serikali je na wao wameenda huko china
wapo wanalea wajukuu na wao ndio wameona kwenye taarifa ya habari kama wewe na mimi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tukiendelea kuangalia maza, shaka na Yunus wanachokifanya tunapigwa
na kitu kizito mno.
 
Tulia bwamdogo. Usinene ukamara.
 
 
Akisaini na waarabu, ooohhh tunauzwa kwa waarabu.
Akaenda kwa wafaransa , ikawa mabeberu wanarudishwa tena..
Sasa hata kwa mchina pia inakuwa kelele...mnataka nini, haya basi lipeni tozo zaidi tupate hela za miradi...
Wabongo mnachosha.....
WABONGO wengi ni kuku tu.
 
Hivi unajua kuwa China mpaka sasa anaidai pesa Tz ya ujenzi wa Reli ya TAZARA?.
Maana mmezoea kuwazushia China ubaya.
Kama anadai aikamate Tazara, na Ukumbuke huko zambia Mchina ameshika
 
TAZARA mpaka leo bado Mchina anadai pesa yake,mbona hajachukua Reli kuiendesha?.
Acheni kuwaona walioshika madaraka ni wajinga ili hali nyinyi hata familia zenu hamjui kuzitengenezea maisha ya siku za mbele huko!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…