MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Inama uone kama nitaacha.Na wewe jipigie mkuu unalia Lia nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inama uone kama nitaacha.Na wewe jipigie mkuu unalia Lia nini?
🤔👣Tulieni watanzania, yaani nasema tulieni hivyo hivyo nchi inafunguliwa hii so kaeni mkao mzuri.
Tumeshachelewa tusubirie Maumivu.
Awamu ya 4 = awamu ya 6Isije kuwa kama ile ya awamu ya 4
hiyo waliyopewa ni ya soda kwa kwenda kusaini tu hiyo mikataba mkuu..Eti wametupa Tsh 30+ bilioni.
Jamani hiyo Ni pesa hata mwenye kituo Cha petroli anayo.
wapo wanalea wajukuu na wao ndio wameona kwenye taarifa ya habari kama wewe na mimi.😀😀😀Hivi wale Kabudi na lukuvi tuliambiwa Nazi yao kupitia mikataba ya serikali je na wao wameenda huko china
Baada ya kusamehewa kahela kadogo.
Nimeshainama mbona sioni kituInama uone kama nitaacha.
Inama vizuri, kunja 7Nimeshainama mbona sioni kitu
Tulia bwamdogo. Usinene ukamara.Sasa baba utaishia kulalamika kama ngedere 😄😄😄😄..
Mwisho Wala mimi sio wa Pwani ,kwetu Njombe ila nimejifunza tabia zenu Sukuma gang kutoka kwa Mwendazake,nyie ni watu wa hivyo sana..
Mara 1000 watu wa Pwani ni Binadamu kuliko nyie takataka.
Hivi unajua kuwa China mpaka sasa anaidai pesa Tz ya ujenzi wa Reli ya TAZARA?.
WABONGO wengi ni kuku tu.Akisaini na waarabu, ooohhh tunauzwa kwa waarabu.
Akaenda kwa wafaransa , ikawa mabeberu wanarudishwa tena..
Sasa hata kwa mchina pia inakuwa kelele...mnataka nini, haya basi lipeni tozo zaidi tupate hela za miradi...
Wabongo mnachosha.....
Kama anadai aikamate Tazara, na Ukumbuke huko zambia Mchina ameshikaHivi unajua kuwa China mpaka sasa anaidai pesa Tz ya ujenzi wa Reli ya TAZARA?.
Maana mmezoea kuwazushia China ubaya.
TAZARA mpaka leo bado Mchina anadai pesa yake,mbona hajachukua Reli kuiendesha?.Mikopo ya kichina ina riba ndogo mpk 4% tatizo lao ni ya mda mfupi. Hawakosei unapoingia lazima uweze dhamana kitu fulani. Ikiiva hauna wanakamata na kuendesha wanaendesha mpk hela ya ipatikane.
Waulizeni ZAMBIA, KENYA, MSUMBIJI, ANGOLA. Kuonea nchi za Africa. China anamdai Marekani $ 3.6 tril na Marekan anamdai $ 2.4 tril uko hapeleki pua. Africa ndo anaonea. Wameamua kumuita Mama watuingize chaka. Ndo hivyo tayari tumeishanasa. Wajanja hatari. Unasaini mikataba ya miradi materials zinatoka kwao. Mainjia wanatoka kwao alaf ni mkopo wenye mashart nafuu. Ujinga tu.
Nyerere alikataa ujinga huu ambao zaman ulikuwa nchi za Ulaya. Xax China kachukua hiyo staili.
Mwendo kasi Dar nondo zinatoka kwao eti zetu hazina ubora, ii ajira viwandani kwao ikue sis wetu wazulule mtaani bila ajira na miradi inafanyika nchini mwetu. Wehu.
Mama yupo serious sana na kilimo aisee!Safi sana.Sikutaka kujibu ila ngoja nikujibu kwa picha [emoji116]