Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

Mimi kila siku nasema hii nchi ni lazima tuuane ndio tuheshimiane. Nchi hii tuigawe sisi kanda ya ziwa tupate kipande chetu tufanye mambo yetu na mafisadi wa pwani wanaojua kuendekeza uvivu, urahisi na ushoga wabaki na yao. Roho inauma sana tunavyopelekwapelekwa na wahuni wachache
Kanda ya Ziwa mumeendelea kwa kula albino na kuongeza mzigo kwenye Nchi Kwa kuzaana kama simbilisi na kuharibu mazingira na mang'ombe yenu👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-221004.png
    Screenshot_20221103-221004.png
    163.8 KB · Views: 1
Tofauti ya bwana msoga na huyu bibi kizee sir-hundred ni jjnska tu, a wote MAJIZI hawana huruma na maisha ya waTanzania, hizo pesa za kuzurula nchi za watu zingetosha kuongeza visima10 nchini kupunguza uhaba wa maji.

Maji ta shida, mfumuko wa bei za vyakula, vifaa vya ujenz, pembejeo za kilimo, mabando kupanda lkn wao hawaoni, kazi yao kutia saini mambo ambayo hawataki tujue.

Hakika vizazi vijavyo vitatulaumu sana, maana hatuna tofauti na wale machief waliosainishwa mikataba ya ulaghai.

Hiyo 15mikataba haina jipya na haitosaidia kitu zaid ya kuwanufaisha wachina na mafedhuri wa kitanzania,

Tutaona kama hiyo mikataba ina jipya lolote la kumnufaisha mtanzania, kama itawabadiri maisha basi NIPO BANDANI PALE NIITENI MBWA NASUBIRI KUBWEKA[emoji23][emoji23]
Wajinga kama wewe Huwa mnapuuzwa na kuachwa na maujinga yenu kichwani mkarithishe watoto wenu.
 
Hii mikataba ilitakiwa kusainiwa china au Tanzania?

Kuna mtindo mpya wa kwenda kusaini mikataba nje ya nchi je mikataba hiyo waziri wa sheria na katiba anahusika kuisaini?

Hii mikataba ikienda kusainiwa huko china wabunge wanakuwa wameipitia au kuijua au tunaenda kuisaini huko china tu?
Nimeuliza tu
aya maswali yako unayojiuliza na mimi nilijiuliza hivy hivyo
 
Mikopo ya kichina ina riba ndogo mpk 4% tatizo lao ni ya mda mfupi. Hawakosei unapoingia lazima uweze dhamana kitu fulani. Ikiiva hauna wanakamata na kuendesha wanaendesha mpk hela ya ipatikane.

Waulizeni ZAMBIA, KENYA, MSUMBIJI, ANGOLA. Kuonea nchi za Africa. China anamdai Marekani $ 3.6 tril na Marekan anamdai $ 2.4 tril uko hapeleki pua. Africa ndo anaonea. Wameamua kumuita Mama watuingize chaka. Ndo hivyo tayari tumeishanasa. Wajanja hatari. Unasaini mikataba ya miradi materials zinatoka kwao. Mainjia wanatoka kwao alaf ni mkopo wenye mashart nafuu. Ujinga tu.

Nyerere alikataa ujinga huu ambao zaman ulikuwa nchi za Ulaya. Xax China kachukua hiyo staili.

Mwendo kasi Dar nondo zinatoka kwao eti zetu hazina ubora, ii ajira viwandani kwao ikue sis wetu wazulule mtaani bila ajira na miradi inafanyika nchini mwetu. Wehu.
Zaidi ya ujinga kichwani hakuna kitu unajua Kuhusu historical relationship ya Tanzania na China..

Usifananishe uhusiano wa China na Tanzania na vitu vya Kijinga kijinga..

Reli ya Tazara Wachina walipojenga uliweka dhamana gani? Mkopo upi huo ambao China aliwahi kushika kitu chetu?

Taahira wewe lazima ujue the so called special relationship na ni zaidi ya urafiki.
 
Kuna miradi gani uliyoiona hapo..au ndio kutajirisha wana siasa kupitia hiyo mikopo...ambayo mwisho wasiku wewe na mimi ndio tunaenda kuilipa kwa maumivu...hao wahuni wanapita tu.

#MaendeleoHayanaChama
Wewe kima umeona mkopo upi hapo kwenye mikataba 15 kabla ya kuropoka?
 
Weka majina au otodha ya hiyo mikataba 15 iliyosaini huko china leo kama hutadondoka
Rais gani aliesaini mikataba ukawekewa adharani? Si afadhali hata ya huyu anatupa taarifa wengine walikuwa wanasaini kimya kimya embu tujalibu kupunguza kelele za chuki kwa usalama wa afya zetu maana hii Pinga Pinga ya kila kitu aitotusaidia
 
😄😄😄😄😄😄😄😁😁😁😁😁 Kazi mnayoweza ni kula albino..

Nauliza tuu Umoja Party imefikia wapi? 😜😜
nyie waswahili wa pwani zaidi ya ushoga mnajua nini kwani? Umoja party ndio nini? Kuna njia zaida ya moja ya kuua mbwa.
 
nyie waswahili wa pwani zaidi ya ushoga mnajua nini kwani? Umoja party ndio nini? Kuna njia zaida ya moja ya kuua mbwa.
Sasa baba utaishia kulalamika kama ngedere 😄😄😄😄..

Mwisho Wala mimi sio wa Pwani ,kwetu Njombe ila nimejifunza tabia zenu Sukuma gang kutoka kwa Mwendazake,nyie ni watu wa hivyo sana..

Mara 1000 watu wa Pwani ni Binadamu kuliko nyie takataka.
 
Iweke wewe uliyeleta hii habari tuone kama tutadondoka ama lah.
 
Back
Top Bottom