Wakuu hatimaye nimefanikiwa kubet Meridian. Safi sana:Wakuu nimeamua kuhamia Meridian lakini naona bado wanaendeleza uqumer wao wa tangu zama za kale. Nihamie wapi pazuri wakuu?
View attachment 1053788
Hongera sana mkuu.
Pamoja sana mkuu.Wanatangaza hivyo.
Mostbet wanaweza kuwa wazuri, japo sijafanikiwa ku-deposit.
Nipo Mkuu, mambo yalikuwa mengi kidogo
Wakuu nimeamua kuhamia Meridian lakini naona bado wanaendeleza uqumer wao wa tangu zama za kale. Nihamie wapi pazuri wakuu?
View attachment 1053788
Mkuu mda si Mrefu Nitahamia 1XBET, pamoja na Changamoto zake..!!Wakuu nimeamua kuhamia Meridian lakini naona bado wanaendeleza uqumer wao wa tangu zama za kale. Nihamie wapi pazuri wakuu?
View attachment 1053788
Mcheza wako poa sana tatizo kodiii..kwa sisi wazee wa odds2+ majanga sanaaa
Laini ya Safaricom ni kwa ajili ya kupokea hela kutoka Mpesa Tz na kuiDEPOSITE 1XBET...So, hata kwa kitochi inapiga kazi yake.Fafanua kidogo
Vipi naweza kutumia line ya safaricom kwenye kitochi au lazima smartphone?
Maelezo mkuu
Mzee, vipi kwenye kuWithdraw Hela kubwa kama Laki 5....hawazingui?Mm nimeiweka Safaricom kwa kitochi, na inapiga mzigo safi tuuu kwa ajili ya kudeposit na kuwithdraw kama kawaidaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa ambae nimejisajilu kwa KENYA SHILLINGS, naweza kubadilisha hii Currency? KES inanichanganya tu[emoji23]Kama kwenye setting ukiwa umeweka tsh kwenye usajili minimum deposit inakuwa ksh 65
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilichagua KES, je naweza badilisha iwe TSH?wakati unajisajili unachagua tsh ..,ukituma ksh inafika tsh bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasubiria kuona kama wataturudisha home au tutabaki Urusi.WADAU WA MIKEKA PREMIER WATALETA WEBSITE MPYA NA APP MPYA YA KUBETIA TAREHE 27 AMBAYO WATAONGEZA OPTION ZINGINE KWA HIYO KAZI KWETU
Sent using Jamii Forums mobile app
1xbet ni next level, habari nyingine.Upande mwingine ni kwenye live betting ... km kuna game 240 ziko live uwanjani, unazikuta zooote hata nyingne ambazo application km Flashscore hawaziweki. Kwa hiyo unakuwa na uwanja mpana wa kuchagua game gani uweke pesa. BetPawa kunaweza kukawa na games 200 live, wakakuchagulia game 15 tu wanazotaka wao.
Jamani msilinganishe 1xbet na vitu vya kipuuzi.
Atabaki mawinguni...hhahah...hata mimi nimejipatia Laini Safaricom. Internal yuko juu sana.