Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Utaratibu ni mzuri...weka kwa kutumia namba 400700 then ukishaweka, chukua zile code za m-pesa mf 6CP925VSACV uweke kwenye kipengele cha Transaction code kule mostbet. Chini ya sekunde, hela imesoma
Ok.ukishinda hakuna usumbufu namna ya kupata hela yako?
 
Haaaaaaaaah aya mambo nilisomaga mtandaoni walikuwa wana wazungumzia 1xbet ila nilipojiunga sikuona kitu km icho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vip hawa wana option za tigo na voda kwa tx?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…