Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haaaaaaaaah aya mambo nilisomaga mtandaoni walikuwa wana wazungumzia 1xbet ila nilipojiunga sikuona kitu km icho

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mhanga wa 1xbet nili kata tamaa na kutoa sadaka ya M.8 niliyoshinda kutoa ikawa haiwezekaniki, unatoa kwa benk inakaa muda inarudi kwenye akaunti, mwisho wa siku nikaambiwa nitume vitambulisho, passport, bank statement, ili nitumie skrill nilipo soma kwenye mablog ya nchi mbalimbali nikakuta wanalalamikia kitu hicho hicho nikajikatia tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…