Argentina kwamba ni kimeo sana mpaka kupewa hizo odds zote hizo...View attachment 1054587
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh Mil8 aisee hatarii...Mimi ni mhanga wa 1xbet nili kata tamaa na kutoa sadaka ya M.8 niliyoshinda kutoa ikawa haiwezekaniki, unatoa kwa benk inakaa muda inarudi kwenye akaunti, mwisho wa siku nikaambiwa nitume vitambulisho, passport, bank statement, ili nitumie skrill nilipo soma kwenye mablog ya nchi mbalimbali nikakuta wanalalamikia kitu hicho hicho nikajikatia tamaa.
Pole..pumzika kwanza.Wakuu nipo juuu ya mawe kuna kitimu
Kilikua kinaongoza moja dak ya 20 nikakipa mtaj wote 50 duuu hapa sina hata 10 mfukon
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mbona watu wanatumiwaga mpunga wao kama ukifanikiwa kuwatumia documents wanazohitaji. Au uliona ni usumbufuMimi ni mhanga wa 1xbet nili kata tamaa na kutoa sadaka ya M.8 niliyoshinda kutoa ikawa haiwezekaniki, unatoa kwa benk inakaa muda inarudi kwenye akaunti, mwisho wa siku nikaambiwa nitume vitambulisho, passport, bank statement, ili nitumie skrill nilipo soma kwenye mablog ya nchi mbalimbali nikakuta wanalalamikia kitu hicho hicho nikajikatia tamaa.
Lipa kodi Mkuu..Humo michosho tu na kakodi chao cha wizi
"World war Z"
Wamesema kodi itakuwa 20% na hakuna bonus tena, stay tuned!Nasikia soon,wanaleta marekebisho na maboresho...Let's stay tune.
Sent using Jamii Forums mobile app
duuuh wajue ndo wana kimbiza wateja wao hapoooWamesema kodi itakuwa 20% na hakuna bonus tena, stay tuned!
Bora tu tuhamie huko mkuu maana haya makampuni ya kimatumbi yameanza kuleta uqumer. Premier wameongeza kodi hadi 20% na wamefuta bonusπ΅ππ³Mkuu mda si Mrefu Nitahamia 1XBET, pamoja na Changamoto zake..!!
Hawa jamaa ni qumer sana I see! Na ukienda kule Meridian nako matatizo matupu, sijui hata tuhamie wapiπ³ππ΅duuuh wajue ndo wana kimbiza wateja wao hapooo