Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau vp,
Mi nauliza kwamba maana halisi ya optione ya home/away win.
Yani nashindwa kuitambua vzuri.webu nielewesheni wadau.
 
Wadau vp,
Mi nauliza kwamba maana halisi ya optione ya home/away win.
Yani nashindwa kuitambua vzuri.webu nielewesheni wadau.

Uwe unaandika vizuri ueleweke aisee, nadhani unamaanisha double chance ya 12, yaani hapo unabashiri hakuna draw yaani Timu ya nyumbani ikishinda umekula au Timu ya ugenini ikishinda pia umekula ila ikitokea draw umeliwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…