Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


Mkuu Magroup ya kubeti yapo zaidi 1000 hapa bongo na kote huko unachokiona kinafabyika hapa na huko kwenye magroup kinafanyika hicho hicho yani Hakuna jipya!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jaman hawa premier nimefungua nimekuta mpangilio mpya kabisa na nimekuta 1000 ya bure, ila option ya red card siioni huwa inaniokoa nikiwa nimepigwa,


Aliyeiona hiyoo option wakuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…