dread pirate K
Member
- Mar 29, 2019
- 18
- 17
Haiwezi tokea mkuu
Wauzaji ndio wanunuaji, ndio biashara yao
Aiseee lakini umewahi jaribu kuuza mkuu, je hii njia ni salama kweli mfano umepiga mpunga mrefu unauza kwa mtu usiyemfaham?Haiwezi tokea mkuu
Wauzaji ndio wanunuaji, ndio biashara yao
Mkuu yote hayo nayaelewa jinsi ya kuuza/kununua!, issue inakuja hapo kwenye kuuza unamuuzia mtu humjjui harafu pia mfano unashida na hela ya haraka, bitcon unaziweka sokoni unakosamnunuza kwa muda mwafaka tayari unakuwa umekwamaWakununua au??? Kama wakununua wapo pia kuna option ya ku sell na ukitaka kusell watu wanaorodheshwa unaangalia yule mwenye rates nzuri unamuuzia ila mm najitajidi nitafute laini ya safaricom tu
"World war Z"
Uwoga wako tuDah! Nimefanya mistake nimemweka Man U mikeka mitatu kwa option moja ya direct win. Ikitokea akaharibu naumia jumla jumla
Mkuu nashukuru kwa msaada. Nimeipata lakini naona kama hii ni ya KENYA.Hats mi ilinisumbuaga sana hadi nikahisi nimepata ban.
Kwenye browser yako andika "How to deposit 1xbet"
Katika matokeo utakayopata hapo chini, kuna moja inafunguka vizuri. Unaisave kwa matumizi ya Mara kwa Mara.
Tayari. Je kwa wastani inachukua muda mpaka balance isome?Kama unayo sms ya muamala uliolipia, kama ulifuta wapigie mtandao wako wakutumie tena
Rudia zoezi zima hadi hatua ya mwisho jaza hiyo form
Mkuu okoa jahazi naomba upost mapema wa leo niokote kidogoWamwisho upo pending unasubiri leoView attachment 1057805
Unakula peke yako mzee
Upuuzi kama huu wa betpawa ndo unanishawishi niwakimbie.. Kwa Mrusi nilikiwa sikosi pesa ya haraka bila presha, just zipatikane goli mbili kwa stake mlima japo odds zinakuwa ndogo ila pesa sikosi.huu n uoga wakuliwa betpawa
.
goal zianzie 4
wakat ukija kwa Mruss kuna mpka over 0.5 mech iyo iyo
acha tukomae na Kremlin tu hakuna namnaView attachment 1057963
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimejaribu kujiunga na hawa jamaa. Kwenye transaction ID najaza nini mkuu? Na business number ni ngapi?Kwa wale wadau mlioimiss 1xbet kwa kushindwa kuweka pesa kwa kupitia mitandao ya simu suluhisho hili hapa. Kuna kampuni inaitwa Mostbet mambo yake ni kama 1xbet wao tigo pesa, airtel money na mpesa zinapiga kazi kama kawaida. Link ya kujiunga hii hapa chini.
https://mostbetrussia26.xyz/register
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa omba Mungu sana man u siwaamin kwa upande wa direct winDah! Nimefanya mistake nimemweka Man U mikeka mitatu kwa option moja ya direct win. Ikitokea akaharibu naumia jumla jumla
Transaction id ni namba ya uthibitisho wa muamala toka kwa mobile provider. Kwa mfano QXR123RP7 30/03/2019 14:40 imethibitisha umetuma ....Mkuu nimejaribu kujiunga na hawa jamaa. Kwenye transaction ID najaza nini mkuu? Na business number ni ngapi?
Hahahah hadi sasa betpawa wamegoma kuweka helaUnakula peke yako mzee