Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Meridian wako safi sana tatizo tu ni "Server error".Wakiondoa hilo tatizo hawtakuwa na mpinzani Bongo.
Hakika mkuu, servor error ndiyo inawaharibia....na ninadhani hiyo error inalemewa na wingi wa wateja.

Halafu eti Premierbet wameondoa options za magli wamebakisha over/under 2.5 tu. Wajinga sana, wanajipoteza wenyewe.
 
Hawa MOSTBET ujinga wao ni huu hapa. Sina hamu na hawa qumer!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…