Kumbe ulishajua mimj nilitenga kabisa mtaji wangu ni laki2Atimae nmejua kubet kwa kutafta hela sio kucheza kamari tena mambo ya kuweka timu 15 ni kupoteza hela sio kutaftaView attachment 1057932
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah hawa jamaa kwa option naona anacompete na mrusi peke yake! Yaan hawa jamaa kama wanasikia maoni yetu wakirekebisha tu hilo tatizo aisee me nitakuwa royal customer wao mazima!Meridian wako safi sana tatizo tu ni "Server error".Wakiondoa hilo tatizo hawtakuwa na mpinzani Bongo.
Mchawi leo anaweza kuwa man uTAHADHARI:Jamani msije mkamsahau Dortmund Huwa Haaminiki 100% weekend hakosekani Mchawi tuwe Makini tusije Tukalia badae.
.TAHADHARI:Jamani msije mkamsahau Dortmund Huwa Haaminiki 100% weekend hakosekani Mchawi tuwe Makini tusije Tukalia badae.
Nimeona depositWale wa 1x bet kuna njia mpya huko ya kudeposit inaitwa My bux wanauza voucher ambazo unanunua kwa tgo pesa, mpesa, airtel money then unadeposit 1x bet
Sent from my iPhone using JamiiForums
Timu za australia we nenda kunyume nazo mtaelewanaPerth Glory shwaini sana