kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 657
- 503
Kwenye betting fursa njenjeView attachment 1059495
Ipo chini ya nani?Majamaa zilifika bei. Look down haipo chini ya 'mwingereza' anymore.
Acha tu mkongwe..Hapa kuna Real na Steau Bucarest hawajacheza, ngoja tuone itakuwaje..Hakyanani timu nilizochagua leo kwenye mkeka wangu japo zimetoa zote lakini pressure nlioipata najua mwenyewe ...
Just imagine, alikuwepo ...
- Chelsea
- Young Boys
- Liverpool
- Eintratch Frankfurt
Hao watatu wa kwanza wameshinda game zao dk za lala salama.
Wacha nipige Castle Lite sasa nimalizie weekend mamaee. Hii kazi ina pressure balaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madrid ya Zizou ogopa..huyo mbwa anakufa kama kasimama bernabeu hapo ondoa shakaBado madrid mkeka utiki. Hivi kweli madrid ya zizu inaweza toa droo au kufungwa na hawa mafala?
Daaaa atakuwa kaondoka na kijiji aiseeeMara paaaaap madrid kadroo