Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Hapa amebaki PSG na vi Odds vyake viduchu....Hivi hawa premierbet hawana option ya ku sell?
 
Ile pressure huwa sio mchezo yaani,huu mkeka niliuweka mara mbili nikijua mwanzo haujakubali coz balance haikupungua na slip haikuwa cleared so nikajikuta sina balance kwenye account.Sasa pressure niliyopewa na hzo mechi mbili za mwisho acha kabisa.
 
wazee wa jacpot, hawa betpawa kwann wameandika game ya saint etiene ya kesho iko cancelled?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…