castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,821
- 3,293
liwalo na liwe ili bomu nalipuka naloMAIN VIP TICKET
Greece
Atromitos FC vs Apollon Smyrnis
Tip over2.5@1.50
Belgium
Brugge vs Standard Liege
Tip over2.5@1.55
Germany
Hamburger SV vs Magdeburg
Tip 1@1.57
Italy
Bologna vs Chievo
Tip 1@1.51
_____________
BONUS
Norway
Rosenborg – Odd
Tip 1@ 1.68
Spain
Cadiz – Zaragoza
Tip 1 @ 1.88
Italy
Palermo-Verona
Tip First Half Draw @ 2.15
____________
BONUS
Germany
Sonnenhof Grossaspach vs 1860 Munich
Tip 2 @ 2.30
Russia
Gazovik Orenburg vs Akhmat Grozny
Tip BTTS (YES) @ 2.35
============
Germany
Hamburger SV vs Magdeburg
Tip X/1@5.25
Germany
Sonnenhof Grossaspach vs 1860 Munich
Tip X/2@4.50
PLAY SINGLE
Mkuu unaweza kufafanuwa hapo ulipata from experience? Sijakuelewa mkuu
Kuna mzungu aliwahi nipa game fixed ambayo ilikua ina odd kumi niliweka 20000/= ....Mkuu unaweza kufafanuwa hapo ulipata from experience? Sijakuelewa mkuu
.
wewe hujawahi kutumia kichwa chako ukatengenezamkeka ukatiki? je ! kama ndio ungemtumia mtu kabla halafu ukamdanganya ni fixed halafu ukaja ukatik si angeamini? wanachokifany hao watu wanachambua kama wewe tu na inaweza kutokea wakabahatisha lakini sii kweli kwamba ni fixed
Fixed ya goli mkuu...wewe hujawahi kutumia kichwa chako ukatengenezamkeka ukatiki? je ! kama ndio ungemtumia mtu kabla halafu ukamdanganya ni fixed halafu ukaja ukatik si angeamini? wanachokifany hao watu wanachambua kama wewe tu na inaweza kutokea wakabahatisha lakini sii kweli kwamba ni fixed
fixed hahahahahahahKuna mzungu aliwahi nipa game fixed ambayo ilikua ina odd kumi niliweka 20000/= ....
From there up to now sijapata tena mana alitaka pesa ndefu sana kama 300€ hivi aisee nilipochelewa kulipa alini block akapotea kuogopa spoil information mana huwa wanafanya kwa usiri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nataka niwaambie sisi tunaobet Mia tano,buku sjui elfu kumi n tunatafuta chai Sasa kuna matajiri wanatafuta maisha game inanunuliwa kwa gharama yeyote na ndo inaitwa fixed yaani kamari haswa. Kulia kwetu kila sku Mara mkeka wa 1.1 umechanika syo kweli umechanika hyo game imeuzwa mkuu .Fixed ya goli mkuu...
Sio zile yanga ashinde au simba nadhani utakuwa umenielewa
Yaani mfano 2-1 correct score
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo kabsaa mkuu game inaisha 1-0 au 0-0 au 2-1 wenye makampuni ya kubet syo wajinga watu wanabet wengi kiasi hicho dunia nzima lakn hawafilisiki wao ndo wanapata faida kulko sisi . Pesa tunayokula sisi Ni za kwetu wenyewe za kwao na mtaji wao hauguswi hata sku moja
Mara nyingi huwa zinauzwa mkuu fanya researchWakuu nataka niwaambie sisi tunaobet Mia tano,buku sjui elfu kumi n tunatafuta chai Sasa kuna matajiri wanatafuta maisha game inanunuliwa kwa gharama yeyote na ndo inaitwa fixed yaani kamari haswa. Kulia kwetu kila sku Mara mkeka wa 1.1 umechanika syo kweli umechanika hyo game imeuzwa mkuu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Muelimishe huyoo...Ipo kabsaa mkuu game inaisha 1-0 au 0-0 au 2-1 wenye makampuni ya kubet syo wajinga watu wanabet wengi kiasi hicho dunia nzima lakn hawafilisiki wao ndo wanapata faida kulko sisi . Pesa tunayokula sisi Ni za kwetu wenyewe za kwao na mtaji wao hauguswi hata sku moja
Sent using Jamii Forums mobile app
we uje ujidanganye kuna fixed match utaliwa hadi.........Wakuu nataka niwaambie sisi tunaobet Mia tano,buku sjui elfu kumi n tunatafuta chai Sasa kuna matajiri wanatafuta maisha game inanunuliwa kwa gharama yeyote na ndo inaitwa fixed yaani kamari haswa. Kulia kwetu kila sku Mara mkeka wa 1.1 umechanika syo kweli umechanika hyo game imeuzwa mkuu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo Tena Sana Kuna kwenye betting tumechanganyika watu Aina tatu matajiri,maisha ya Kati,na maskini Sasa matajiri ndo wanaamua mechi flani iweje na ipi ishinde kumbuka mpira n biashara Kama biashara zingine
Heri wewe unajua ila wapo watu humu wanabishaIpo Tena Sana Kuna kwenye betting tumechanganyika watu Aina tatu matajiri,maisha ya Kati,na maskini Sasa matajiri ndo wanaamua mechi flani iweje na ipi ishinde kumbuka mpira n biashara Kama biashara zingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleweka, alikupa game kumi tena akahitaji 300€ kwamba ulipata service kabla ya kumlipa, kama ulipata service kisha akakublock una proof gani kwamba hizo game 10 zote zilienda sawa?Kuna mzungu aliwahi nipa game fixed ambayo ilikua ina odd kumi niliweka 20000/= ....
From there up to now sijapata tena mana alitaka pesa ndefu sana kama 300€ hivi aisee nilipochelewa kulipa alini block akapotea kuogopa spoil information mana huwa wanafanya kwa usiri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Odd 10 mzee... sio game kumiHujaeleweka, alikupa game kumi tena akahitaji 300€ kwamba ulipata service kabla ya kumlipa, kama ulipata service kisha akakublock una proof gani kwamba hizo game 10 zote zilienda sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app