Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa ninavyojua mimi hii michezo ya Kufix mechi siku hizi haitokei kwenye level za juu kwa sababu hela kwenye mpira wa level ya juu zimekuwa nyingi sana kiasi kwamba haileti faida hata ukitaka kuinunua coz wachezaji wenyew wanalipwa hela ndefu sana ss ww utawalipa bei gani na utabet kwa stake gani urudishe hyo hela? na hata FIFA wamekuwa makini sana kwenye ku monitor hyo michezo kama alivyosema Mkuu Mayu adhabu huwa ni kali sana kama kilichowatokea Juve mpka wakashushwa dalaja,Match fixing hutokea lakin sema ni kwa level ya chini mfano ligi za chini sana au Mechi za Watoto kama Under 21 etc na hyo ni kwenye nchi ambazo ufatiliaji wake ni mdogo na ofcoz hyo michezo inachezwa kwa umakini na usiri mkubwa kiasi kwamba watu wachache sana wanakuwa wanahusika au kujua!
 
[QUOoTE="Mayu, post: 31030338, member: 23542"]
Sema odd zitakua ndogo sana
[/QUOTE]
Odd zinaweza zikawa 1.11 mazembe kushinda
 
Wachache watatarudishaje hela yao
Kumbuka kuna stake limit na winning amount limit
 
Inaweza kuwa hata chini ya hapo halafu Simba odd mlima
[QUOoTE="Mayu, post: 31030338, member: 23542"]
Sema odd zitakua ndogo sana
Odd zinaweza zikawa 1.11 mazembe kushinda[/QUOTE]
 
Wachache watatarudishaje hela yao
Kumbuka kuna stake limit na winning amount limit

Hela wanazo walipa wale madogo sio Nyingi kihvyo na sometimes inaweza isiwe timu nzma inaweza ikawa kocha wao na wachezaji wawili au watatu mabeki
 
hii possession ya 2nd sio mchezo
 
Attachments

  • Screenshot_20190408-211958.jpg
    50 KB · Views: 23
mkuu fix zipo aiseeh acha blah blah... kila siku ishu zinabumbuluka
 
Ile game ya psg jana inadaiwa kuwa ni fixed na FIFA wamesha anza uchunguzi kuhusu ilo
It was fixed for a draw and first half was must for the strasbourg to win and sec half for psg to equalise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata useme ligi za mchangani mkuu
Hivi utawalipa psg kiasi gani wakubali kurisk all achievement waliofikia?
Tumebet tumepigwa tunaanza mawazo ya ajabu ajabu utadhani psg ku draw ni sawa na jua kubadili uelekeo

mwaka jana tu red star ya lig 2 france ilishtukiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…