Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu unapozungumzia fix sio watu tu. hao wenyewe wenye kampuni ndio wanaleta huo mchezo ili wapige hela. wanaangalia nani anaaminiwa sana then wanatuzunguka
Washenzi hao wana Fix vibaya huwezi amini kuna jamaa wanaitwa Unibet wanawatesa mbaya Bulgarians na Iranians wao wanachagua baadhi ya mechi chachs wanapeleka mtu weeee ni kiama
 
Washenzi hao wana Fix vibaya huwezi amini kuna jamaa wanaitwa Unibet wanawatesa mbaya Bulgarians na Iranians wao wanachagua baadhi ya mechi chachs wanapeleka mtu weeee ni kiama
mwambieni huyu jamaa.. maana anabisha tu, hawa bookmaker ndio wanafix balaa sio akina sisi huku
 
Lost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…