Si kweli, Liverpool akienda first half 1-0, na mechi ikaisha 1-0 sheria ya HT/FT au 1/1 inakiwa WONMimi navoelewa ni kwamba ukiweka 1/1 maana yake home team ishinde vipindi vyote,,,yaani 1st half aende kifua mbele i.e 1-0, 2-1 etc...na pia kipindi cha pili vivyo hivyo ashinde pia,,,hapo maana ya 1/1 inakuwa imetimia...
Mfano liverpool vs chelsea...ili 1/1 iwe won inabidi 1st half imalizike liver akiongoza kwa idadi yoyote ya magoli, na pia 2nd half pia aongoze kwa udadi yoyote...tuseme 1st half ikaisha 1-0, 2nd half pia ikaisha 2-1= 3-1 FT. Hapo 1/1 itakuwa WON.
Ila ikiwa 1st half liva 1-0 chelsea,,na 2nd half ikaishia 0-0 na hivyo kufanya game kuisha kwa 1-0 basi hapo itakua LOSS!
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli hapa issue ni kuwa timu A ashinde kipindi cha kwanza na mwisho wa mechi abaki kuwa mshinda hata kama kipindi cha pili halitapatikana goli mfano mechi ya juzi ya man u vs west hamu 1/1 kwa man ilikubali kwa kuwa alikwenda kipindi cha kwanz anaongoza na mechi ikaisha kwa yeye kushinda 2 kwa 1Neno lead labda sielewi lina maana gani hapo mkuu
Kila kipindi ni mechi kamili
Ikiwa wa nyumbani akifunga goli 1 kipindi cha kwanza na matokeo yakabaki hivyo maana yake ni 1/×
Yaani kipindi cha kwanza home alishinda
Kipindi cha pili hawakufungana ni draw
Nishawishi niamini tofauti mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
1/x inakuaje sasa?Si kweli, Liverpool akienda first half 1-0, na mechi ikaisha 1-0 sheria ya HT/FT au 1/1 inakiwa WON
Sent using Jamii Forums mobile app
1/x inakuaje hii mkuu?Si kweli hapa issue ni kuwa timu A ashinde kipindi cha kwanza na mwisho wa mechi abaki kuwa mshinda hata kama kipindi cha pili halitapatikana goli mfano mechi ya juzi ya man u vs west hamu 1/1 kwa man ilikubali kwa kuwa alikwenda kipindi cha kwanz anaongoza na mechi ikaisha kwa yeye kushinda 2 kwa 1
Sent using Jamii Forums mobile app
aongoze cha kwanza lakini mechi iishe sare
Yuko sahihi, wewe ndiye uko wrong. Watford akipata goli first half (1-0) na mechi ikaisha hivo tiketi inakuwa WON. Ndiyo maana ya Half time Full TimeMkuu ikiwa kama mfano unavyoeleza utakuwa umeliwa kwan kipindi cha pili matokeo uatakuwa 00
Sent using Jamii Forums mobile app
HT/FT maana yake ni matokeo ya kila kipindi
Kumbuka kwamba matokeo ya kipindi cha kwanza hayata athiri natokeo ya kipidi cha pili na kinyume chake
Kila kipindi inahesabika kama mechi kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
You are totally wrong bro. If you press a bet on half time -full time (HT/FT) means For example, if Watford win at first half win 1-0, and the results remain as it is, the bet is WonHT/FT maana yake ni matokeo ya kila kipindi
Kumbuka kwamba matokeo ya kipindi cha kwanza hayata athiri natokeo ya kipidi cha pili na kinyume chake
Kila kipindi inahesabika kama mechi kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa umepick ipiYou are totally wrong bro. If you press a bet on half time -full time (HT/FT) means For example, if Watford win at first half win 1-0, and the results remain as it is, the bet is Won
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno lead labda sielewi lina maana gani hapo mkuu
Kila kipindi ni mechi kamili
Ikiwa wa nyumbani akifunga goli 1 kipindi cha kwanza na matokeo yakabaki hivyo maana yake ni 1/×
Yaani kipindi cha kwanza home alishinda
Kipindi cha pili hawakufungana ni draw
Nishawishi niamini tofauti mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kuna makampuni yako tofauti kunajamaa yangu siku moja aliweka 1/1 kwenye mkeka kwa kampuni kati ya playmaster au thrownbet tukajua amekula kwenda kule wanambia eti ni double win sio 1/1 tunayoijua kwaiyo makampuni nayo yako yofauti ingekuwa meridian inamaana angekula.Yuko sahihi, wewe ndiye uko wrong. Watford akipata goli first half (1-0) na mechi ikaisha hivo tiketi inakuwa WON. Ndiyo maana ya Half time Full Time
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuuSio, Watford akipata goli (1-0) kipindi cha kwanza, na mpira ukaisha 1-1 ndiyo inakuea 1/x. Matokeo yakibaki 1-0 inakuwa 1/1
Sent using Jamii Forums mobile app
Watford akipata goli kipindi cha kwanza (1-0) likadumu hadi mpira unaisha kwa 1-0 ndo inakuwa 1/1
Ushaliwa baba kutoa pesa uko ni skukuu sahau iyoJamani kuna mtu amewahi kutoa pesa mostbet. Nimewithdraw hela kutoka mostbet naona bado haijaingia kwenye m-pesa .hao jamaa wanatumia dusupay sytem kulipa .aliwahi anisaidie
Ila kuna makampuni yako tofauti kunajamaa yangu siku moja aliweka 1/1 kwenye mkeka kwa kampuni kati ya playmaster au thrownbet tukajua amekula kwenda kule wanambia eti ni double win sio 1/1 tunayoijua kwaiyo makampuni nayo yako yofauti ingekuwa meridian inamaana angekula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechungulia mkuuWatford akipata goli kipindi cha kwanza (1-0) likadumu hadi mpira unaisha kwa 1-0 ndo inakuwa 1/1
Sent using Jamii Forums mobile app