[emoji120][emoji120][emoji120] Chief!Nenda website ya bitcoins uliotumia kudeposit
Nemda upande wa receive bitcons utaona address
Ikopi na ukai paste hapo 1xbet
Hakikisha njia ulio deposti ndio utakayo tumia kuwithdraw
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kupotosha,
double bet maana yake mini?HT/FT maana yake ni matokeo ya kila kipindi
Kumbuka kwamba matokeo ya kipindi cha kwanza hayata athiri natokeo ya kipidi cha pili na kinyume chake
Kila kipindi inahesabika kama mechi kamili
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya 1half na 2half na HT/FT ni nini? Msemo wa didy weka unavyoamini afu ukiliwa ndo utajua uko sahihi au laWacha kupotosha,
Kama hujui kaa kimya tu,
Hapa mkeka unakua umetiki. Tofautisha HT/FT
na
1st Half/2nd Half
Try to read between the lines broUnakua umelost akipata 1-0 first half afu game ikaisha 1-1 hii sio 1/x mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani 1/1 cha kwanza timu A ishinde 2-0 afu cha pili timu B ilishinde 1-0 game iishe 2-1mkeka uwin!! We vipi umeanza kubet leoWacha kupotosha,
Kama hujui kaa kimya tu,
Hapa mkeka unakua umetiki. Tofautisha HT/FT
na
1st Half/2nd Half
Wewe ndo unajichanganya. 1/2 maana yake ni kipindi cha kwanza team 1 iongoze, mfano 2-0 halafu mechi iishe 2-3. Ikiisha kwa 2/2 inakuwa 1/x. Rudi mkasome hizi sheria ziko wazi
SAFI SANA MPWA!!!Ww ndio umeongea ilivyo!!! Hiyo timu ishinde kuanzia kipindi cha kwa kwanza na cha pili kiishe akiwa na ushindi hata kama cha pili hataongeza goli mladi tu asifungwe cha pili na mpinzanj wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano ikiwa hvi 2- 0 kipindi Cha Kwanza halafu kipindi chapili ikawa 0-1 hyo bado n 1/1 maana atakuwa kipindi kizima Ni 2-1 hvyo bado wa nyumban anaongoza hajapitwa. Na mfano ikawa hivi 0-1 halafu kipindi Cha pili ikawa 1-0 hyo Ni 1/X maana mechi imeisha sare lakn ikiwa 0-1 halafu kipindi Cha pili ikawa 2-0 hyo Ni 1/2 maana mechi imeisha 2-1 kinachoangaliwa Sana n mpira umeishaje na kipindi Cha Kwanza kimeishajeDah mbona mnateseka na ktu kirahisi hivyo ? Iko hivi tmu ya nyumban n 1 na ya ugenini Ni 2 Sasa mfano tmu ya nyumban ikashinda kipindi Cha Kwanza 1-0 halafu kipindi Cha ugenini ikashinda 1-0 hyo inakuwa n 1/X . Mfano ya ugenini ikashinda 1-0 kipindi Cha Kwanza halafu kipindi Cha pili ya nyumban ikashinda 1-0 hyo inakuwa n 2/X . Lakin ikiwa ya nyumban imeshinda 1 -0 halafu kipindi Cha pili ikatoka 1-1 au 0-0 hyo inakuwa Ni 1/1 maana tmu ya nyumban itakuwa 2-1 au 1-0 dakika zote 90. Ikitoka kipindi Cha Kwanza 1-1 halafu kipindi Cha pili ikawa 1-0 hyo inakuwa X/1 au Kama ilitoka 0-0 kipindi Cha Kwanza na chapili ikawa 0-1 inakuwa X/2 hzo zote zinaitwa ngumu kumeza
Sent using Jamii Forums mobile app