PLAY SINGLE
WOOOON...Tukutane Kwa wakala.
Mapema tu.
Kuchambua hizo mechiWalau kupunguza machunguView attachment 1072006View attachment 1072007View attachment 1072008
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu inakutoa leo.. tupia hata lakiDirect zinautamu wake bana
Ngumu kuziacha ingawa zina tuua sometimes View attachment 1072433
Sent using Jamii Forums mobile app
App gani unayotumia?Chat ya kwanza Arsenal ashinde 2/2, chat ya pili Arsenal ashinde vipindi vyote viwiliView attachment 1072332View attachment 1072333
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote vile lazina ashinde tena kwa goli mbiliAtalanta ya Pemba na unguja
Ukifundishwa fundishika basi, acha ubishi. Ht/Ft hapa wanaangalia kipindi cha kwanza na kisha game yote kiujumla.Yaani 1/1 cha kwanza timu A ishinde 2-0 afu cha pili timu B ilishinde 1-0 game iishe 2-1mkeka uwin!! We vipi umeanza kubet leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kwanza na ya mwisho (tatu) umepatia. Ila ya pili umechemka ila najua ni bahati mbaya.Mfano ikiwa hvi 2- 0 kipindi Cha Kwanza halafu kipindi chapili ikawa 0-1 hyo bado n 1/1 maana atakuwa kipindi kizima Ni 2-1 hvyo bado wa nyumban anaongoza hajapitwa. Na mfano ikawa hivi 0-1 halafu kipindi Cha pili ikawa 1-0 hyo Ni 1/X maana mechi imeisha sare lakn ikiwa 0-1 halafu kipindi Cha pili ikawa 2-0 hyo Ni 1/2 maana mechi imeisha 2-1 kinachoangaliwa Sana n mpira umeishaje na kipindi Cha Kwanza kimeishaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujistukii tu kila mtu anakubishia wewe? Kama unabeti vibandani muulize jirani yako hapo ili usiendelee kujichoresha humu. Maana unajionyesha wazi ni mgeni wa kubetYaani 1/1 cha kwanza timu A ishinde 2-0 afu cha pili timu B ilishinde 1-0 game iishe 2-1mkeka uwin!! We vipi umeanza kubet leo
Sent using Jamii Forums mobile app