if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
Raha ya betting uwe na hela isiyo na mawazo,kuna jamaa yangu nilikuwa nae kustake 2m ni jambo la kawaida ,yeye ni mtu wa mechi moja au mbili,nazinaenda poa kabsa,na kesho unamkuta kwenye gambe,respect wherever ur broo
Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo. Mfano kama juzi angebetia Barca ashinde aliliwa kichwa (alitoka 0-0)
Kama angebetia Juve ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 2-1)
Kama angebetia PSG ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 5-1)
Na hizi ndio zilikua timu za ushindi weekend iloisha, sasa unaposema huwa anabet mechi mbili/moja na mambo yanaenda muzuri huo ni uongo kaka.
Jilipue tu Mkuu,
Hapo ni "Kill or Die"

Ujajua tu!!!Mzoefu wa Betting anaye stake zaidi ya 1m hawezi kuwapa Barca ushindi,Juve ushindi kwa kipindi hiki wakati anajua hizo team katikati ya week hii zinacheza UCL so kwa vyovyote zitapumzisha wachezaji, ama PSG wakati anajua hao jamaa washachukua kombe.Uongo. Mfano kama juzi angebetia Barca ashinde aliliwa kichwa (alitoka 0-0)
Kama angebetia Juve ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 2-1)
Kama angebetia PSG ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 5-1)
Na hizi ndio zilikua timu za ushindi weekend iloisha, sasa unaposema huwa anabet mechi mbili/moja na mambo yanaenda muzuri huo ni uongo kaka.
Unajua watu wanajua tmu kubwa tu. Sasa niwaambie ktu ukienda nchi nyingine toafut na nchi zenye tmu kubwa Kuna mechi za uhakika na pia Mara nyingi watu wanaoweka pesa nyingi hvyo kamwe huwezi mkuta anabet direct Winn never on Earth . Mtu anaenda zake uingereza au ujeruman au Netherlands anachukua tmu 2 au tatu za over 0.5 inakuja hata odd 1.3 akiweka m2 yake s laki 6 faida? Najua watakuja watu waseme ikitoka o-o Sasa nawaambia uingereza au ujeruman , Netherlands Kuna baadhi ya mechi hata iweje haiishi 0-0Ujajua tu!!!Mzoefu wa Betting anaye stake zaidi ya 1m hawezi kuwapa Barca ushindi,Juve ushindi kwa kipindi hiki wakati anajua hizo team katikati ya week hii zinacheza UCL so kwa vyovyote zitapumzisha wachezaji, ama PSG wakati anajua hao jamaa washachukua kombe.
weka kwa Cardiff, barca,juve all win & over 1.5Jilipue tu Mkuu,
Hapo ni "Kill or Die"
Mkongwe vip leo tumetokaje?Ujajua tu!!!Mzoefu wa Betting anaye stake zaidi ya 1m hawezi kuwapa Barca ushindi,Juve ushindi kwa kipindi hiki wakati anajua hizo team katikati ya week hii zinacheza UCL so kwa vyovyote zitapumzisha wachezaji, ama PSG wakati anajua hao jamaa washachukua kombe.
Mkuu kumbuka ligi ndogo au ambazo sio maarufu options na odd zinabanwa sana tofauti na ligi kubwa na timu kubwaUnajua watu wanajua tmu kubwa tu. Sasa niwaambie ktu ukienda nchi nyingine toafut na nchi zenye tmu kubwa Kuna mechi za uhakika na pia Mara nyingi watu wanaoweka pesa nyingi hvyo kamwe huwezi mkuta anabet direct Winn never on Earth . Mtu anaenda zake uingereza au ujeruman au Netherlands anachukua tmu 2 au tatu za over 0.5 inakuja hata odd 1.3 akiweka m2 yake s laki 6 faida? Najua watakuja watu waseme ikitoka o-o Sasa nawaambia uingereza au ujeruman , Netherlands Kuna baadhi ya mechi hata iweje haiishi 0-0
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewadhamini Barca na Juve tu kwa direct WIN mkeka mmoja, wa pili nimempa Barca Win na Juve 1X