Make musolini jr
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 305
- 234
Hii ngoma dakika 90 draw
mkuu acha tu dahhhhDah kama nilijua nikapunguza ukubwa wa stake, Juve sijui kala maharage ya wapi
Direct win ni hatari Kwa afya hasa ukisuka mkeka.Dah kama nilijua nikapunguza ukubwa wa stake, Juve sijui kala maharage ya wapi alikua anaondoka na 500,000/- yote leo
Walikuwa na 1300 odds kufika semi finalAjax ni balaa
Aisee...Man U amekufa ila Juve ameuwawa haahaaaa.
Hawa jamaa wanaweza nyanyua makwapa kiutani utani...Ajax wale ndo wanaume mamaee..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app