Leo naamini ivi nitapata hela
-Man City vs Tottenham over 1.5
-constantine vs CR belo home/draw
-bandari vs kcb home/draw
-nante vs PSG away/draw
Odd 2+
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok.. Nimetulia, I'm trying to think big but you just keep on thinking slowly.
Tumia website utaibiwa wewe.
Mkuu nipe dawa kwanza nimalize hili Arosto then nikutupie jamvi la pesa hapa
Ndio mana Mimi nimeng'ang'na na xbet. [emoji91][emoji91][emoji91]nimeacha rasmi Kubetia betpawa. wanaoption chache sana upande wa basketball
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo 100 ni Tsh or Ksh?Parimatch wangese kweli. Nimeweka 100 nifuate simba ashinde hadi mda huu haijaingia daaah simba anatoa ngumu leo ilikua ina odds kama 3 mda ule amefungwa
Nipo sana huku ila napitia comments tu
Kuamini Liverpool inafungwa na Porto ni kama kuamini kulala na mama ako au dada yako utakuwa tajiri. FC Porto kwa takwimu hamfikii Liverpool, bet wisely chiefWakuu habari za leo? Najua sio salama sana kwa wale wenzetu ambao mliweka direct win kwa Juventus Turin, maana macho yote yalikuwa pale... Poleni sana, ndio mpira ulivyo hauna adabu, dakika 1 tu inaweza kubadilisha kila kitu kwenye mpira. Tupo tuliostuka mapema kumpa direct win Juventus Turin, maana game ilikuwa haitabiriki. Lakini pamoja na yote, kawaida ya hizi bet ni kula na kuliwa, wengine tuna miezi hatujawin hata bet moja, bet zote tunaangukia pua!
Leo UCL inaendelea guys, najua wengi wana imani na Man City kwa kumpa direct win. Hatupangiani namna ya kubet ila kuongezeana madini ni jambo la msingi. Guys hii game ya City na Spurs haitabiriki, inahitaji sana utulivu wa akili kabla hujaweka stake. Bora game ya Porto na Liver kidogo ina unafuu japo mimi naamini kabisa Liver kule Portugal hawachomoki hata wacheze uchi watapigwa si chini ya bao 2 mpaka 3; tutandike mikeka wazee tukutane saa 7...