sawaaaaaamechi ya liver over 1.5
man city ana shinda zaidi ya goal 2
una weza mpa home over 1.5 goals
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs kapitaaaa
Kwenye mkeka wangu niliweka CTY anapita wamenipa helaSpurs kapitaaaa
Bila sha ka kwa wadau wa 1xbet mtakua mmecashout [emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
Kweli mkuu najaribu kushea ule mkeka nashindwaView attachment 1074670
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli NAC tuwe makini kufuatilia mikeka wasije sema lost sababu ya makosa yaoHiyo bahat yako mkuu.....kumbe mitambo hukosea pia....though nahc wataja sanuka na kurudsha chao.....beware
Sent using Jamii Forums mobile app