21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Kazi kweeli kweeliValencia inatoa double chance leo. Nyambizi anahangaika na laliga asishuke daraja. Game ya arsenal ipeni magoli hiyo itakua kama jana spurs na city. Chelsea hakawii kushinda goli moja chizi huyu. Ok wale wa kikapu karibuni tuangalie Euroleague playoff.
Hahahahaha utapata tuNabembeleza hela ya pasaka kwa muhindiView attachment 1075493
Mkuu nashukuru niliifuata
Yaan hizi bahati huwa hazijirudiiNijilipue?
View attachment 1075248
Kampuni ngani hiyo kakTamaa ilimponza fisi
Badala ya ku cash out nokajipa matumaini
Kushtuka mambo yameharibikaView attachment 1073781
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa una balaa aiseeee
Hii pesa ukila wanafuta account yako kabisa, kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii pesa ukila wanafuta account yako kabisa, kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sanaHii pesa ukila wanafuta account yako kabisa, kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda kwako tu mkuuhawa wanazingua tuu,coz huwa natoa mara kibao tu akunaga kwele.
Wamekublock bila sababu??Wakuu nimetoka ku deposit 1.5 mil kwenye akaunti yangu ya premier, nikaweka mkeka waka_reject, nikaweka tena hali ikawa ileile so nikaamua kuirudisha hela yangu kuja Mpesa...cha ajabu sasa naambiwa siwezi kutoa sababu wameni_block!! Msaada wenu wakuu nahisi kudata hapa
Iko hivi,kwanza kila kampuni ina utaratibu wake..Mara nyingi kuna kiwango cha mwisho cha kubeti na cha cha ushindi pia..lakini kubwa zaidi hawaruhu kuweka pesa bila kubeti na kuoitoa..bora ucheze hata single game..kikubwa ni kuwapigia watatatua shida yako usiogope..miamala haipotei.Wakuu nimetoka ku deposit 1.5 mil kwenye akaunti yangu ya premier, nikaweka mkeka waka_reject, nikaweka tena hali ikawa ileile so nikaamua kuirudisha hela yangu kuja Mpesa...cha ajabu sasa naambiwa siwezi kutoa sababu wameni_block!! Msaada wenu wakuu nahisi kudata hapa
Naomba link ya hii betpawaTUWAHI JAPAN SAA 7 MCHANAView attachment 1075545