Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe 1xbet ni illegal na iko banned nchi kibao, hizi njia tunazozifanya zitakuja kutu_cost.
Hawa wazee hata wakisepa na pesa zako huna pakuwashtaki.

Nahisi ni figisu za US na UK
According to the 1Xbet legal terms, there are specific countries whose players can be accepted at the gaming site. In case you see your country listed here, know that you are on the safe side and you can create your account right away to start enjoying your favorite games. If you don’t see your country mentioned in the list below, it means that you can’t play in the lobby of 1xbet. The accepted countries are as follows:

Albania, Armenia, Angola, Argentina, Australia, Azerbaijan, Bosnia, Bangladesh, Bulgaria, Bahrain, Burundi, Burkina Faso, Bolivia, Brazil, British Virgin Islands, Belarus, Ivory Coast, Canada, Congo, Chile, China, Colombia, Congo, Czech Republic, Denmark, Algeria, Egypt, Ethiopia, Georgia, Ghana, Greece, Greenland, Hong Kong, Croatia, Hungary, Indonesia, Israel, India, Iceland, Iran, Iraq, Jordan, Japan, Kenya, South Korea, Kuwait, Kazakhstan, Libya, Lebanon, Morocco, Moldovia, Macedonia, Mexico, Malaysia, Mozambique, Nigeria, Norway, New Zealand, Omani, Peru, Philippines, Poland, Pakistan, Paraguay, Qatar, Romania, Russia Serbian, Saudi Arabia, Slovenia, Sudan, Sweden, Singapore, Somali, Switzerland, Thailand, Tunisia, Turkey, Taiwan, Tanzania, Ukraine, Uganda, United Arab Emirates, Uruguay, Uzbekistan, Venezuela, Vietnam, South Africa, Zambia, Zanzibar and Zimbabwe.

RESTRICTED[emoji724] COUNTRIES:

Afghanistan
France
Portugal
North Korea
Cuba
 
1xbet ni illegal in Tz according to sheria za Tz

Ila kwasababu duni ya utandawazi ni kama kijiji watu wanafanya magumashi kujinga

Ikitokea unapata tatizo huna pa kuegemea
 
Wakuu wazee wa kubet, kuna strategy moja matata ya kumla mhindi, nimeijaribu mara kadhaa na mafanikio nimeyaona!
 
1xbet ni illegal in Tz according to sheria za Tz

Ila kwasababu duni ya utandawazi ni kama kijiji watu wanafanya magumashi kujinga

Ikitokea unapata tatizo huna pa kuegemea
Mayu tule wote hizo oddd mbili na tatu baba
 
Tanzania ipo kwenye list mkuu sasa haya mafigisu yanatoka wapi
 
Napenda kuiita DOUBLE STAKE!,

Anza na mtaji wa buku 5 au 10k
1. Chukua game mbili za direct win hasa zingatia uwiano wa odds mfano home win odd 1.25 then away akawa walau 9, basi home uwezekano wa kushinda upo 90%.

Chukua game mbili odds 1.25 x 1.25 =1.5*
Siku ya 1), 1.5x 10000=,15000
Siku ya 2), 1.5x 15000= 22500
Siku ya 3), 1.5x 22500=33750
Siku ya 4), 1.5x 33750= 50625
Siku ya 5),, 1.5x 50625 =75900
Siku ya 6), 1.5 x 75900= 113900
Siku ya 7), 1.5x 113900= 170000*

NB:, siyo lazima udouble stake mara 7, unaweza fanya hata mara tatu au nne ukatoa faida yako iliyopatikana. Na tunalazimika kutumia game mbili badala ya single bet sababu single bet yenye odd 1.5 mara nyingi uwezekano wa kutoa ni mdogo tocammfauti navile vi odd vya 1.2 ambapo kukuangusha inakuwa mara chache sana!,

Zingatia pia kubet home win badala ya away win halafu hakikisha away walau awe na odd 8 na kuendelea.
 
Mkuu uko sawa kabsaa lakni kwa nyongeza ukitaka iwe tamu Basi tafuta ya magoli over 1.5 mechi mbili ili ije 1.3*1.3 n odd 1.69 Sasa cheza hvyo kla sku hata ukianza na buku syo mbaya
 
Mkuu uko sawa kabsaa lakni kwa nyongeza ukitaka iwe tamu Basi tafuta ya magoli over 1.5 mechi mbili ili ije 1.3*1.3 n odd 1.69 Sasa cheza hvyo kla sku hata ukianza na buku syo mbaya
Mkuu over 1.5 siyo salama hasa yenye odd 1.3 uwezekano wa magoli ni ni mdogo mkuu pia ashinde yeyote yenye odd odd 1.3 bado siyo salama!, soo the best way s a direct win!
 
Tanzania ipo kwenye list mkuu sasa haya mafigisu yanatoka wapi
List ni ya 1xbet na sio ya mamlaka za TZ zinazotambulika kisheria

Sikutishi mkuu hata mimi nina acc 1xbet na napiga kama kawaida

Ila tambua haipo kisheria ukikwama huna pa kukimbilia
Na ndio maana unaona tunahangaika na safaricom mara bitcoins nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…