Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haka kamfumo katamu
Balaa lake sasa ukifika labda day 5 unashangaa Man city anafungwa na Wigan
Acc inasoma 0 BALNCE

Kustake capital yote plus faida nihatari sana
Inabidi kupunguza stake na kuweka back up
In case unakwama unaanza tena na back up uliokua unaweka
 
Ni kweli mkuu kuliwa kupo ndiyomaana ikaitwa kubahatisha, ila sasa kwa mkakati huu risk inakuwa ndogo sana tofatu na yule anayeweka treni la game 5. Niamini hapa uwezekano wa kuvuka siku 7 bila kupoteza upo kabisa!

Nyongeza ni kwamba kwa wale ambao ni wavivu wa kuchambua game au wageni wa club/, team kuna website zinaweka games ambazo ni popular bet kwa siku husika so hizo game mara nyingi haziangushi aisee. Chomoa game mbili tia mpunga then tulia!
 
Mfano wa hiyo site
 
Date & Time: 19-04-2019 15:00
League : Portugal
Match : Cova - Leixos
Tip : X FT
Odd : 3.05

Extra tip: X/X HT/FT

Extra Extra tip: 0-0 C.S FT

Date & Time: 19-04-2019 15:00
League : Egypt
Match : AL lithihad vs Makassa
Tip : X FT
Odd : 3.05

Extra tip: X/X HT/FT
 
Date & Time: 19-04-2019 15:00
League : Poland 🇵🇱
Match : Huragan - Legionovia
Tip : X FT
Odd : 3.05

Extra tip: X/X HT/FT
 
Msukuma mayu okoa jahazi baba nipate hata mtaji nishapigwa laki na nusu
 
Netherlands
WAALWICK v DORDRECHT
TIP.OV25
TIME 21:00hrs

Netherlands
SPARTA ROTTERDAM v HELMOND SPORT
TIP.FT1 AND OV25
TIME 21:00hrs

France
LYON v ANGERS
TIP.FT1
TIME 21:45hrs

England
NORWICH CITY v SHEFFIELD WED
TIP.FT1
TIME 21:45hrs
 
► 🔹League:France
► 🔹Time : 19.30
► 🔹Match :Chatearoux - Chamois Niort
► 🔹Tips : 0-0(HT)
► 🔹Odds : 4.00


► 🔹Time 19.30
> League:Chatearoux - Chamois Niort
► 🔹Tips : X(HT)
► 🔹Odds : 2.00

*For Daily Free Correct score
 
► 🔹League:France
► 🔹Time : 19.30
► 🔹Match :Jeanne d'Arc de Drancy - Tours
► 🔹Tips : 0-0(HT)
► 🔹Odds : 4.00


► 🔹Time 19.30
> League:Jeanne d'Arc de Drancy - Tours
► 🔹Tips : X(HT)
► 🔹Odds : 2.00
 
Uliweka for which purpose
 
Kumbe 1xbet ni illegal na iko banned nchi kibao, hizi njia tunazozifanya zitakuja kutu_cost.
Hawa wazee hata wakisepa na pesa zako huna pakuwashtaki.

Nahisi ni figisu za US na UK
Your suggestion mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…