Huu mkeka pamoja na kuwa na steka kiduchu ila kwa wingi wa odds unaweza kuwa mkeka wa msimu.Jaman 3+ ndio mpango sio GG Wala nini,chukua ligi ambazo zinazalisha magoli mengi,Kama Australia, Germany etc.View attachment 1077538
Mkuu siku ukitengeneza mkeka wa hivi naomba unipatie na mimi nijilipue siku hiyo maana duuuuuh, wengine ni kama vile hatubahatishi aiseeeeJaman 3+ ndio mpango sio GG Wala nini,chukua ligi ambazo zinazalisha magoli mengi,Kama Australia, Germany etc.View attachment 1077538
Tujaribu hivi wakuu,chagua zinazokufaa weka mzigo,and as usual stake what u can afford to lose!
Real Madrid Under 4.5
Man UTD Under 4.5
Golden State warriors Under 241.5 Total Spreads (NBA)
Liverpool Under 4.5
Okhlahoma City Win (NBA)
Arsenal Win
PSG Win/1x
PSV Win
FC Ural 1-3 goals
Mkuu hii inatokea mara moja kwenye maisha, trust me.Mkuu siku ukitengeneza mkeka wa hivi naomba unipatie na mimi nijilipue siku hiyo maana duuuuuh, wengine ni kama vile hatubahatishi aiseeee
SureMkuu hii inatokea mara moja kwenye maisha, trust me.
Wasalimie Mkuu..Siku ya Ijumaa niliamua kuvunja ndoa na kubet,nimedumu kwenye biashara hii tangu mwezi machi 2014 mpaka siku hiyo.Nilikuwa optimistic sana.
Ila sijaona faida yoyote mpaka sasa,only losses,nilianza na kampuni ya M-bet,kisha, Meridian,Premierbet,Sportpesa,Playmaster,Betpawa na Supabets.
Na juzi nikarudi M-bet kujaribu bahati yangu,niliweka Accumulator ya timu nane Leeds United walitia doa.
I kissed goodbye to my bet.
Nitaukumbuka huu mkeka nilioshinda kwa mara ya kwanza.
Mlada Boleslav v Dukla Praha(Home win)
Teplice v Bohemians (Home win)
Gaz Metan Medias v ASA Targu Mures(Home win)
Slovan Bratislava v Podbrezova(Home win)
Bye bye
@officialfheeed ingia pm kaka kuna meseji
Ubalikiwe Mkuu na humu mapambano yaendelea[emoji120][emoji123]Siku ya Ijumaa niliamua kuvunja ndoa na kubet,nimedumu kwenye biashara hii tangu mwezi machi 2014 mpaka siku hiyo.Nilikuwa optimistic sana.
Ila sijaona faida yoyote mpaka sasa,only losses,nilianza na kampuni ya M-bet,kisha, Meridian,Premierbet,Sportpesa,Playmaster,Betpawa na Supabets.
Na juzi nikarudi M-bet kujaribu bahati yangu,niliweka Accumulator ya timu nane Leeds United walitia doa.
I kissed goodbye to my bet.
Nitaukumbuka huu mkeka nilioshinda kwa mara ya kwanza.
Mlada Boleslav v Dukla Praha(Home win)
Teplice v Bohemians (Home win)
Gaz Metan Medias v ASA Targu Mures(Home win)
Slovan Bratislava v Podbrezova(Home win)
Bye bye
Tsh10,000/=
Clean sheet tim isfungwe goal hata moja ila hata ikitoka sare ya 0-0 umekula, ila win to NIL ishinde pasina kuruhus goal.Wazee clean sheet na Win to Nil,zinanichanganya kidogo ,hebu nitoeni tongo tongo hapo nizielewe
Hivi shule hazijafunguliwa tu bado!,hawa watoto kujua kushika simu siku izi kero sanaView attachment 1078020 eti km hamtaki kuna asiyetaka hela ? Hahahaaaa!!!!!!!
Pole sn ndg sisi tunapiga tu
Poa mkuu,na wewe tunakusubiriaWasalimie Mkuu..
Aisee hzo odd mbili kla mtu hapa anaweza kupata na ni rahisi mno Kama uji wa viazi. Njoo na odd kuanzia 10 halafu kla sku uwe unakula ndo utuambie mambo ya group lakni swala la odd mbili hata sisi tunaweza kula syo kla sku n kila saaView attachment 1078020 eti km hamtaki kuna asiyetaka hela ? Hahahaaaa!!!!!!!
Pole sn ndg sisi tunapiga tu