chrisman49
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 352
- 77
Umeona!daah manina kwel kubet ni ishu sehemu ukizuia magoli ....inanyesha mvua ya magoli..ukiyaomba sasa hayatokei...!
Inawezekana no njia za kuchafuana kibiashara au LA. Ila katika kusoma soma mtandaoni kuna makampuni ya ulaya yashawahi kutambaa na hela za mteja. Yaani uvumilivu ule unawashinda, we unadeposit dollar 2500 halafu unawin Mara tano kwa wiki, Zinatokea siku ambazo ambazo bet zimelost sana kama ya arsenal juzi, wanaangalia faida wanakuta mmegawana coz wewe uliweka over 1.5. Baada ya hapo wanakufyekelea mbali.Mrusi anapita nazo
Kampuni gani inaruhusu stake kuanzia 100 kama betpawa?
Kwa Arsenal weka magoli utakuwa safe kidogo maana ni mwepesi kufunga na ni mwepesi kufungwa pia.daah sina ham na arsenal wazee!yani nimempiga Ban ya maisha manina zake!!yan sijui nlimuweka wa nini
Hela hiiKama muoga weka hiyo
This is SimbaView attachment 1079103
Hizi handicap ndio zikoje mkuu?Kama muoga weka hiyo
This is SimbaView attachment 1079103
kamtangulizia alliance goli moja simba ashinde cc mayuHizi handicap ndio zikoje mkuu?