KAMA.ULICHEZA ANGALIA BALANCE KIZURI KULA NA NDUGUYO SEC DRW BOOOM FOR TODAYFT X TU.JARIBUView attachment 1084853
Sasa matokeo yakitoka vile vile je?yaani nyau nyau tangu ulivoplace bet unakuwa umeliwa au umekula?Unafuta matokeo yaliyopo bila Kujali nani anaongoza then unasema una mpa ashinde unayetaka kwa muda uliobakia mi Mara nyingi nazipa ushindi timu kuanzia dakika ya 75 au 80 na wakati mwingne dk ya 85 na Odd's zinakuwa zimepanda
UmeliwaSasa matokeo yakitoka vile vile je?yaani nyau nyau tangu ulivoplace bet unakuwa umeliwa au umekula?
Yupo mkata umeme kutoka KenyaNO KANE WATCH OUT TOTTY
Umefuata haya maelezo?Wakuu mwenye namba ya M-lipa anisaidie, nimetuma hela iende mybux mida ya SAA tano asubuhi ila mpaka sasa sijatumiwa e-mail. Nimewapigia voda wanadai pesa ipo m-lipa. Msaada please.
Ndio... Wananiambia hakuna active voucher kwenye hizo details, yaani e-mail na namba yangu. Ndipo nimehisi huenda tatizo lipo m-lipa.Umefuata haya maelezo?
Resend....View attachment 1084956
Ndio... Wananiambia hakuna active voucher kwenye hizo details, yaani e-mail na namba yangu. Ndipo nimehisi huenda tatizo lipo m-lipa.
STAKE AUNTIR Reykjavik – Fjolnir ▶ OV2.5
Tottenham - Ajax ▶ GG