Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi jana dollar zililiwa mapema nikaweka zingine zikaliwa Uriguay mshenzi sana.
Nikaogopa weka kabisa.
Ila lazima dollar zangu zirudi siachi ngoo
 

Mkuu, mi nashauri mechi kubwa ni bora kubet magori, 3+, then weka mzigo, utawin sana tu
 
leo kama kawaida sikati tamaa FRANCE nafikiria kumpa cap draw au 45mins.. Argentina nampa cap bila kuwaza mara mbili.
 
Mkeka wangu leo ni kwa kups,jaro,sjk,sandeford,ifk,france,switzland,hammaby! Natupia 5000/= naweka mbili mbili! Tutaonana kesho kwenye mpunga!
 
Chonde chonde CEO Kuwa makini naye,usimuuzi unaweza ukachezea vitasa wiki hii.

hahahahahaha kuna mnigeria mmoja yuko suspended kisa kamcheka, ila watu wa union wameingilia karudi kazini, ila hali tete bado,
 
Mkeka wangu leo ni kwa kups,jaro,sjk,sandeford,ifk,france,switzland,hammaby! Natupia 5000/= naweka mbili mbili! Tutaonana kesho kwenye mpunga!

MADAWA rudi hapa utupe feedback ya mkeka wako
 
Last edited by a moderator:
Za leo ngumu kutabiri wakubwa may be ile ya Nigeria ila vingine vinataka uwe kama shujaa usiogope.
 
mi nimekosea mara moja tu tangu world cup ianze kwenye ile gem ya Mexico....sababu nabet over 2.5...nii gemu moja tu ndo imekua under 2.5! ila naanza over 1.5 to be more safe!!
 
Haya nyie madogo huku
Hembu niambieni ya kesho,
leo sina salio.

Mnipe majibu mie nifanye kuingiza kwenye simu tu.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…