Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Russia

FC Akhmat Grozny Youth – Zenit Youth


Tip: over 2.5βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…and GGβœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

Malaysia


Kedah – Kuala Lumpur


Tip: GGβœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ… and over 2.5βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…
 
Mpwa i beg to differ with you
Hii sasa too much

Jaribu sana kutenganisha kati magroup yako ya kuuza Tips na JF

Ili kuwa mkamaria mzuri your suppose to bet for reasons. Uchambuzi ni muhimu kulikabili hili game

Mambo yanayokera
Unatuma tips zaidi ya 50 kwa siku sometime game moja predictions kibao
Man win
Man draw
Man lose
Man under 2.5
Man over 2.5
Gg yes
Gg no
Dc 12, 1x, 2x
Mwisho wa game lazima utapost boom za kutosha
Unataka tuchangie tips zaidi ya 50 kwa siku hiyo nayo si ni kamali tosha
Ntajua ipi sasa itawin maana huwezi kustake tip zote hizo
Nahakika mpwa hauplacebet hata tip moja unasubiri changia tumle muhindi

Matangazo umezidi hadi unaondoa ladha ya jjukwaa as Great Thinkers
Sipendi kuona matangazo ya biashara yako ya tips kwenye jukwaa hili ambapo watu tunaamini maamuzi na predictions zetu na sio kununua mtu akufanyie kazi hiyo

Unaweza kutuma just few tips kwa siku na kuzi defend inapopidi
The perfect place kwa biashara yako ni fb na wasap, not here in JF

Mwanzo ulianza vizuri na ulikua mkali kweli kwa wauza tip wanaovamia jukwaa
Lakini sasa naona mpwa tamaa imekuzidi, busara zimehama, husikii wala kuona ni jinsi gani unakwaza wanajukwaa
Akili yako ime stuck kwenye elf 15 unazotaka utumiwe na wakamalia badala ku stake high na hizo tip zako za uhakika ukapiga mamilioni per day

We appreciate juhudi zako za kukusanya tip toka app na channnel mbalimbali but ifike mahali as a Greater thinker ujiongeze

Sorry kama nimekukwaza
 
Hujamkwaza Bali yeye hukwaza members hapa jf
 
Hujamkwaza Bali yeye hukwaza members hapa jf
Ni kama siamini ndio huyu Pdidy nanye mjua JF
Kawa na majibu ya kipuuzi kama ya wauza odd wote duniani ukiwaambia ukweli
Wana majibu ya kufanana
 
Nimefanikiwa kudepist 1xbet buku 2 naomba tips 1 yakuanzia maisha mapya 1xbet
 
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’·
2-0
FYUUUUUUUUU
 
Everton - Burnley
Everton1.68
1X2
Ferencvarosi TC - Ujpest FC
Yes1.46
Home Team to Win Either Half?
CSF Speranta Nisporeni - FC Sheriff Tiraspol
FC Sheriff Tiraspol1.44
1X2
AC Sparta Prague - FC Banik Ostrava
AC Sparta Prague1.47
1X2
FC Slovan Liberec - SK Slavia Prague
SK Slavia Prague1.57
1X2
Twente - SC Cambuur
Twente Or Draw1.24
Double Chance
GNK Dinamo Zagreb - NK Lokomotiva Zagreb
GNK Dinamo Zagreb1.52
1X2
BK Hacken - GIF Sundsvall
BK Hacken1.46
1X2
AIK - AFC Eskilstuna
AIK1.33
1X2
Real Madrid - Villarreal
Real Madrid1.68
1X2
Espanyol - Atl. Madrid
Draw Or Atl. Madrid1.24
Double Chance
FC Dynamo Kiev - FC Oleksandriya
FC Dynamo Kiev1.32
1X2
KRC Genk - Royal Antwerp FC
KRC Genk1.55
1X2
Mainz - RB Leipzig
Yes1.35
Away Team to Win Either Half?


_Z5QT2PBG_
 
Ni kama siamini ndio huyu Pdidy nanye mjua JF
Kawa na majibu ya kipuuzi kama ya wauza odd wote duniani ukiwaambia ukweli
Wana majibu ya kufanana
fulsa mkuu, kule fb kuna madogo wakamalia toka kenya, tz, sasa wakijirengesha member 200 wa kumtumia hiyo ten maana yake tsh2,000,000 per month sasa mtalingana? lazima akujibu mbovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…